Ukitaka kudanganya usimtumie kova | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kudanganya usimtumie kova

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simba Mkali, Jul 19, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kweli imedhihiri uongo ni kazi mtu unatakiwa ujipange na kujiandaa pale unapotaka kuongopa, Kumbe kwa Gwajima watu hawaungami! Sasa Kova anasemaje kuwa yule mwendawazimu alienda kuungama pale na Gwajima mwenyewe anakataa? kweli ukitaka kupanga uongo usimtumie Kova.
   
Loading...