jukwaa la dharura

olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,303
1,559
Habari zenu wakuu,
nawasilisha ombi langu kwa mods, naomba muanzshe jukwaa la "breakng news" ili iwe rahsi kupata/kupost habr za dharura na za harka, kwa mfn wakat nipockia habr ya kzma kwa meli nikajua tu lazma itakua hmu bt jukwaa gni ndo ikawa ishu mpaka nikaikuta jukwaa la siasa japo habr ynywe c ya siasa, so habr kama hzo zwe na mahali pake na mods wahakkshe kweli ni ya dharura.
nawasilisha
 
Hili wazo ni zuri sana maana itarahisisha kupata habari kwa urahisi kwenye jukwaa husika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom