vita ya majimaji ni mojawapo ya ushahidi wa kihistoria unaotukumbusha upinzani ulioonyeshwa na watanganyika kupinga upolwaji wa mashamba na makazi yao kama kilosa leo hii.Tz completely...
kwenye kipindi cha bunge waziri lukuvi alihamia upande wanaokaa kambi ya upinzani na kukaa jirani na Sugu, walijadiliana kwa muda mrefu na sehemu kubwa Lukuvi alitulizwa.... bila shaka topic...
watu waliofika bandarini wakitaka kujua taarifa kuhusu ndugu zao waliokuwa safarini leo wameambulia patupu...MV seagric haina ofisi....jamani waTanzania hatujifunzi tu?
kwanza nitoe pole kwa waTz wenzangu kwa ajari ya meli iliyotokea kisiwani CHUMBE,Mungu awape moyo wasubira wote waliokutwa na ajali hii. najinadi kwa nguvu kusema Hongera JF kwa kuwa chombo cha...
Wana JF,
Leo Jioni kutoka BUNGENI Speaker ANNA MAKINDA katika hitimisho lake akiwaambia wabunge kuwa wasipende sana kuwatajka watu wakati wakichangia hoja zao na akadai kuna mashitaka mengi sana...
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Taarifa mbalimbali za Habari kupitia Vyombo tulivyonavyo Tanzania. Na Siku hizi angalau ITV huwa wanahabari za Maana kidogo na Star TV kwasasa lakini TBC ambayo...
Dah...! Natumia fursa hii kusema kwa sauti kubwa mchana huu kuwa napenda chama changu IMARA CHADEMA...!
Kwa wapenda madiliko hawatajuta ku support CHADEMA..........
hate t o lv t...
Baada ya kujiuma uma jana naomba kumuuliza swali hili la miwsho tu; je kama suala hili liko mahakamani, wewe uliwezaje au ulipataje ujasiri wa kuitisha Press conference na kulizungumzia suala...
Naishangaa sana hii Serikali ya Kikwete kwa kubomoa nyumba ya ibada na waziri husika kutamka kuwa japokuwa Hotel zimejengwa kwa kukiuka sheria hazitabomolewa kwa nini?? na ni za kina nani?wakati...
Habar zenyu wana jf nakuombeni msaada wa haraka tafadhalini! Ninataka kuanza ujenzi wa nyumba ya kawaida self ya room 3 nina shilingi mil.5 tofali nitatumia za kuchoma! Nawasilisha...
Siku moja nilikuwa nasafiri kutoka Musoma Kuja Dar es salaam nikiwa na mtoto mdogo. Nilitegemea kuondoka saa kumi jioni cha ajabu masaa mawili kabla ya safari nikapigiwa simu eti niwahi Musoma...
Julius Dawson (23) ni jina ambalo linatajwa sana hivi sasa kwenye kila mazungumzo ya wapenda elimu hapa nchini.
na hii inakuja kufuatia hatua ya kijana huyo kuandika mistari ya Bongo fleva...
Unajua kuwa mabadiliko ya kweli yataletwa na mimi mwenyewe kwa kushirikiana na wewe je uko tayari kufanya mabadiliko kwa lengo la kuokoa Taifa na kizazi hiki na kijacho
Nahitaji anzisha Chama cha kijamii katika Kata yangu ambacho hakitakuwa na itikadi yoyote ya kisiasa, jinsia wala rangi ni kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo katika kata yetu. Tatizo nililonalo ni...
Hii ni barua amepewa mtu, anakua promoted kuwa ASSISTANT REGIONAL DIRECTOR, kilichonifanya niiweke hapa hii barua ni vitu vitatu.
1. huyu mtu alikua akifanya kazi na ana mshahara wa 450,000 kabla...
Hivi kova na jesh lao wanaigizaaaa au? Hii kama filam basi ni ya kiindi. Wanaleta masihar then wanakuja kuomb ushrikiano kwa raia. Kova arud studio akarekod upya
- Wandugu wapenzi tupo huku Osterbay: at Kenyatta Road, karibu na Chole Road, tunafanya Fundraising ya kuwasaidia watoto wa Yatima Dodoma, kwa kushirikiana na Kinjekitile Mwiru. Nawaomba sana wale...
Wadau naombeni kujuzwa,,,kwa anaejua soko la asali nchini kenya na bei kwa jumla,,bei ya lita au kg,,ninayo nyingi,,,,,,,na nimbichi ya nyuki wakubwa,,pls nijulisheni,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.