Kulingana na idadi ya abiria waliokuwa katika meli iliyozama kubadilikabadilika je idadi kamili ni ipi ikiwa meli yenyewe haina hata ofisi je idadi itapatikania wapi?au ndiyo mambo ya changa la macho?
Nimesikiliza Channel Ten wamewahoji maafisa walioenda kusaidia uokoaji katika meli ya Mv Skagit wanasema walikuwa wanavizia wajeruhi na maiti waliokuwa wanaelea majini. HAKUNA MZAMIAJI hata mmoja...
Hivi makachero,usalama wa taifa,mawaziri na wengine wote wanaoiongoza tanzania wanajisikiaje kuona au kusikia wananchi wanavyoitaja kuhusiana na mabwepande?
Awamu ya kwanza ya Mabomu ya JWTZ yalianzia Mbagala, yakaua Watanzania takriban 33!
Awamu ya pili yakafuatia GongolaMboto, yakaua waTanzania wasiopungua 25.
Awamu ya kwanza Meli ya MV SPICE...
Duh nchi hii ina vichekesho sana eti leo mamlaka ya usafiri wamefanya ukaguzi wa boti zilizopo ziwa Tanganyika na kubaili ambazo hazina maboya hivi hadi watu wafe ndo ukaguzi ufanyike jamani???
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekuwa kawaida kwa waasi kujiita majina tofautitofauti mfano Maimai,Banyamulenge n.k!Sasa wengine wameibuka;wanajiita RAIA MTOMBOKI.
ni kundi la waandishi wa habari kutoka Nje ya nchi na watz bara wakiona umuhimu wa maelezo wa mmoja wa viongozi wakuu wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar hapo Malindi. Kabla ya tukio hili. badhi ya...
Incredible transformation of the Chinese mother left horrifically disfigured by 70 tumours growing on her face after doctors carried out surgery for free
Li Hongfang, 40, was shunned in...
Kutokana na Mwamko wa watu kutaka kujiandikisha kwenye dafutari la wapiga kura siku yoyote itakayotanganzwa. Naona kama serikari-CCM watatumia njia ya ili uandikishwe lazima uwe na Kitambulisho...
Watu Wanne walikamatwa na Sungu Sungu Maeneo ya Lupa Chunya kwa Makosa Mbali mbali na kupelekwa Mstinu na kuteswa vibaya na kuwatelekeza wakiwa hoi.
Taarifa zinaonyesha kuwa watu hao...
JAMANI serikali yetu kweli hamnazo, mpaka sasa naandika kwenye ukurasa huu maiti za ajali ya meli Zanzibar bado zinaelea majini, kwa mujibu wa waokoaji wanaitupia lawama serikali kwa kushidwa...
WanaJF wenzangu napata shida kidogo juu ya tafsri ya hili neno maombolezo.Hivi inaingia akilini taifa kusitisha shughuli zake muhimu kama Bunge na kutangaza kuwa taifa linaomboleza juu ya msiba...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika
katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata...
Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata...
Mara kwa mara nimekua nikiona makala maalum kuhusiana na Tsunami ya Japan tena ufafanuzi ukitolewa na mkurugenzi mkuu mwenyewe Dr Agness Kijazi, kupitia kituo cha TBCCM. Lakini mamlaka hii imekua...
Tunisia former President Zine El Abidine Ben Ali sentenced to Life in Prison, kwa mauaji yaliyotokea katika harakati za ukombozi wa Tunisia.
Source : Al Jazeera.
wanapopunguza idadi ya kura za wapinzani huwa nawaelewa wana maana gani, lakini kama watu 60 wanakufa na wao wanatangaza 12 huwa sijui wana maana gani......
Unajua jeshini ni amri tu, na unatimiza bila kuhoji, na huwezi kuadhibiwa kwa kuitekeleza kama ulivyotumwa - ila wakiona soo wanakulimboka kimya kimya. Sasa kila mtu hapa anamlalamikia Kova...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.