Tatizo mzee kova anashindwa kutofautisha watanzania wa 1920 na 2012. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo mzee kova anashindwa kutofautisha watanzania wa 1920 na 2012.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gilguy, Jul 19, 2012.

 1. g

  gilguy Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukweli ni kwamba ni lazima viongozi wa bongo msome alama za nyakati,pia watofautishe ishu za wasomi na chingaz.wanacheza na madocta kama watoto wadogo wakati madocta wanawatega kwa kamba ya mgomba nao wanakamatika.ningekuwa mimi kova ningerudi studio kama alivyosema kamanda sugu au ningejinyonga au kuachia ngazi.
   
 2. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mwaka 1920 hapakuwepo na watanzania bali watanganyika, na hata huyo kova mwenyewe hakuwepo!
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Anajua sana tofauti ni hicho kiburi tu cha jeuri ya vyomba vya ukandamizaji. Anajua sana, ila laana anazivaa yeye kwa wanaomtuma. Aachie ngazi aje kula kwako? Anajua kuwa anawaonea wanyonge lakini katumwa na CCM wanaompa kula na kwenda chooni yeye na watoto wake na mke wake labda na ukoo mzima!!
   
Loading...