Ningependa kujua kuhusu Dr.Ulimbona anaendeleaje wana jf.

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Muda mrefu sana kimya kimetawala kuhusu Dr.Ulimboka kwa wale wanaojua kinachoendelea watueleze jamani na ziwe habari za ukweli siyo tetesi.
 
Kwa wale wenye taarifa za ukweli siyo tetesi
 
ameshapona anakuja Tz keshokutwa. kikwete anahaha kumzuia asiingie na kisingizio chao wanataka kusema sii raia wa tanzania. mkakati huo unasukwa kwa kutumia maafisa wa uhamiaji.subirini mtaona.lengo lakufanya hivi ni kuficha ukweli asije kuzungumzia kilichojiri.
 
ulimboka sidhani kama atakuwa ameshapona, kwasababu kipigo alichopigwa kilikuwa kikubwa sana, kungólewa meno, kucha, kuvuliwa suruali (sidhani kama tigo waliiacha) na mengine mengi, namshauri akirudi aje aachane na mambo ya migomo atafute maisha ya watoto wake na mke wake tu, kwasababu kama kuimwagia damu tz tu kwa nafasi yake ameshafanya na msg sent, hivyo awaachie wengine waifie tz na si yeye.....this is my very advice to him.
 
nimesoma hii nikasikia harufu ya uozo.

kwa sasa anaendelea vizuri kiasi kwani ameshaanza kufanya mazoezi ya kutembea.
 
Jana baada ya kumaliza mishemishe za siku nikarudi home; nikawa katika maongezi na wife kuhusu ajali za ZNZ, halafu nikabadili mada nikajisemea sijui Dr. Uli anaendeleaje huko south, wife akanikatisha akasema, "mume wangu usiongelee suala lililopo mahakamani!" nikaondoka kwenda kunywa castle.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom