How to buy a car from UK?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu naomba kuelewa ni jinsi gani naweza kununua gari UK nikiwa TANZANIA?je kuna usalama kutumia makampuni yanayojitangaza kwenye internet au nifanyeje?
 
unaweza kununua kutumia makampuni yanayojitangaza lkn ni comlicated kidogo,sio rahisi kama japan....for more in ni-PM
 
uk ni wezi zaidi ya japan, mapop kibao, mimi nilitaka kulizwa kwenye kijiko cha cat, kuwa makini kuliko maelezo
 
Back
Top Bottom