raia mtomboki wa DRC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

raia mtomboki wa DRC

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shansila, Jul 19, 2012.

 1. S

  Shansila Senior Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekuwa kawaida kwa waasi kujiita majina tofautitofauti mfano Maimai,Banyamulenge n.k!Sasa wengine wameibuka;wanajiita RAIA MTOMBOKI.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mhhhh..........
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Hao ni wa zamani wala sio wa leo, ni miongoni mwa vikundi vinavyoform hilo kundi la mayimayi (Majimaji), hao jamaa wa Raia Mtomboki wapo zaidi maeneo ya Bukavu na kuendelea north kIvukundi la pili kubwa na hao majimaji ni la JEan KUtumba, ambalo liko zaidi maeneo sOuth kivu na MAniemamalengo hasa ya hayo makundi ya MAyimayi ni kuikomboa East Congo kutoka kwa Rwanda
   
Loading...