Maiti za ajali ya meli zanzibar zinaelea majini meli hazina mafuta kwa ajili ya kuzifuata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maiti za ajali ya meli zanzibar zinaelea majini meli hazina mafuta kwa ajili ya kuzifuata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by STRONG GIRL, Jul 19, 2012.

 1. S

  STRONG GIRL Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  JAMANI serikali yetu kweli hamnazo, mpaka sasa naandika kwenye ukurasa huu maiti za ajali ya meli Zanzibar bado zinaelea majini, kwa mujibu wa waokoaji wanaitupia lawama serikali kwa kushidwa kutoa mafuta kwa ajili ya meli na boti zilizojitolea kwa ajili ya uopoaji wa maiti.

  Taarifa fupi ya habari iliyorushwa na TBC 1 jioni hii imeonyesha maiti zikielea hovyo majini, huku waokoaji wakisema kama zitachelewa kuopolewa basi zitapotea na hatutaambulia maiti za wapedwa wetu. bunge limesimamishwa sijui masaa yote hayo limeshidwa kupata njia ya kuzitoa majini, au ndo tuseme wamejifungia ndani nao wanalia?. au hakuna bajeti? NI AIBU NA FEDHEHA KWA SERIKALI KUKOSA MAFUTA KWA AJILI YA MELI ZINAZOENDA KUOPOA MAITI HUKO ZANZIBAR
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  I expected this there is nothing new hapa kwa serikali na viongozi legelege kawatafute mnadani watakuwa wanakula nyama choma saa hizi huku wakipeana yanayojiri.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Ngoja nitafute tusi
   
 4. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Halafu wanapiga kelele kutwa wanataka kujitenga. Wala halua bana!
   
 5. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Hii ndo serikali legelege,
   
 6. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watasema na hili liko mahakamani tusilijadili. Kumbafu zao na wezi wa kubwa wa pesa zetu. Na vifo hivi vitawarudia.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  kwa serikali yetu inavyopenda kuficha mambo wanaweza kutuma watu kwenda kuzizamisha. BTW hata wabunge nao walikimbilia kutaka bunge liahirishwe badala ya kusema wawe na session maalum ya kuongelea ufumbuzi wa tatizo, shame on them.
   
 8. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Weeeeeee we! We! rudia tukusikie! SERIKALI SIKIVU! SRIKALI MAKINI NA SASA TUNASONGA MBELE! HA HA HAAAAAAAAAA wacha ncheke mie! Poleni ndugu zet kwa msiba huu mkubwa. Hii ndo nchi yenu mliyopewa na Mnyaazi Mungu lakini mkapewa viongozi tepetepe!
   
 9. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watasema na hili liko mahakamani tusilijadili. Kumbafu zao na wezi wa kubwa wa pesa zetu. Na vifo hivi vitawarudia.Poleni wote wanandugu waliofiwa na ndugu zao.
   
 10. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,715
  Trophy Points: 280
  Sometimes nakufuru,najuta kuzaliwa Tanzania!
   
 11. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kitengo cha maafa pale kwa maziri mkuu nacho ni maafa kwa taifa hili. Yaan mpaka maafa itokee ndiyo pesa zianze kutafutwa kwa kuzihamisha huko zilikopangiwa shughuli nyingine. Preparedness ktk disaster management yetu ni sifuri. Yaani hakuna jambo tunaloweza kusema tuko vizuri?? Hatujifunzi hata kidogo. Pitiful situation
   
 12. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mi nafikiri kuna baadhi ya viongozi nikibahatika kukutana nao lazima nitawang'ata sikio!!.
   
 13. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa mkutano wa chama cha kijani pesa nyingi zingetolewa.
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,136
  Trophy Points: 280
  Bakhresa si ni tajiri, tena Islam safi, kwanini asijitolee kuopoa maiti? Mbona huwa anachangia sana shughuli za CCM
   
 15. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Bado mchakato yakinifu unafanywa!
   
 16. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  [h=1]Body count at 12 after former state ferry sinks off Zanzibar[/h][h=2][/h]
  • COMMENT (1)
  • [COLOR=#036DBE !important]SHARE
  [/COLOR]
  [​IMG]
  WSDOT
  MV Skagit during its time in Seattle

  [h=3]Sponsored Links[/h]


  DAR ES SALAAM, Tanzania —
  Twelve bodies have been recovered after a former Washington state ferry that was sold to Tanzania sank off the island of Zanzibar.

  The passenger-only MV Skagit was sold last year and transported to Tanzania to provide service between the mainland and Zanzibar.

  According to BBC News, a rescue operation has been launched by navy and police.

  The Navy said the boat got into trouble during strong winds.

  According to the AFP news agency, so far, 12 bodies have been recovered along with 10 survivors.

  The BBC said 31 children were believed to be aboard the boat during the two-hour journey.


   
 17. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  evidence wapi
   
 18. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kweli watu wamechoka..
   
 19. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Serikali gani sasa unayoizungumzia, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar?
   
 20. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ipi unaiona asafali? Zote dhoofu bin hali!
   
Loading...