Uongozi wa juu smz wakutana kuzungumzia tukio la ajali ya meli zanzibar

Gumzo

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
211
7
[h=2][/h]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika
katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata taarifa

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
 
Mie nashauri wote washitakiwe kwa mauaji, ukizingatia kwamba Sumatra walikataa kuisajiri hii meli kwa sababu za kiusalama. Zanzibar katika kuonyesha wana ubavu wa kuamua mambo yao wenyewe dhidi ya Tanzania bara wakaamua kuisajiri. Kibri cha namna hii ndio kilileta maafa ya Spice Island pia, na suala la meli za Iran.

Narudia maneno aliyosema Nyerere; mnakuwa kama mtoto mchanga anayekunyea halafu analia yeye.

Na pia nashauri iwe marufuku kwa meli zilizosajiriwa Zanzibar kuingia Tanzania bara.
 
mkuu, maneno yako ni makali bali ndo ukweli wenyewe, but hata sumatra ni wanafiki, kwanini waliona kuwa meli haina maritime worthness but wanairuhusu kutia nanga dar es salaam na kuwachukua watanganyika kwenda kuliwa na vibua wa unguja na pemba?.
 
Mkuu Gama, ndio maana nikasema Kama Zanzibar hawataki Sumatra, dawa ni kuweka sheria kwamba ili meli itoe huduma Tanzania bara lazima iwe imesajiriwa na Sumatra, hata kama tayari Zanzibar wameisajiri. Nadhani utaelewa kwa nini nchi za Ulaya zinapiga marufuku mashirika mengi ya Afrika kupeleka ndege zao Ulaya, hata kama wana usajiri wa IATA.
 
Back
Top Bottom