Hii kali ya Kigoma:Mamlaka ya usafiri yafanya ukagumi wa maboya ziwa Tanganyika

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Duh nchi hii ina vichekesho sana eti leo mamlaka ya usafiri wamefanya ukaguzi wa boti zilizopo ziwa Tanganyika na kubaili ambazo hazina maboya hivi hadi watu wafe ndo ukaguzi ufanyike jamani???
 
Back
Top Bottom