ninawashangaa mnaomshangaa kova | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ninawashangaa mnaomshangaa kova

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Jul 19, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Unajua jeshini ni amri tu, na unatimiza bila kuhoji, na huwezi kuadhibiwa kwa kuitekeleza kama ulivyotumwa - ila wakiona soo wanakulimboka kimya kimya. Sasa kila mtu hapa anamlalamikia Kova. Alikuwa na chaguzi 1 kati ya mbili ambazo ni kutekeleza amri ya mkuu au ku-resign na kusamehe mafao yake yote (kisha awasubiri waje kumlimboka au kukimbilia nchi salama). Wakati mnamlalamikia Kova, mkuu anakunywa wiski na kupanga nani afuatie kwenye orodha ya kupelekwa mabwepande. Jamani tupige kichwa cha nyoka na sio mkia!
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hilo ndo neno zito, kila siku amepotoshwa
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Remember you must respect your superior order.However,the order given must be reasonable!
  Kwa mfano boss wako anakwambia nenda kamkamate yule kijana na umlawiti,je utatii?
  Nenda kamuuwe yule pale na uichome moto maiti yake ,je utatii?

  Pamoja na amri anazopewa na mabosi wake Kova bado anao uwanja mbana wa kuwashauri mabosi wake ni namna gani sahihi ya kuboresha utendaji wa jeshi la polisi.Kama ni hivyo Kova anatofautiana nini na roboti?Sifa kubwa ya binadamu ni ule uwezo wake wa kureason pale unapotokea ulazima,vinginevyo binadamu anaweza kuwa kama roboti!
   
 4. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hizo amri mbona ni kawaida jeshini na zinatekeleza kirahisi kwa askari mtiifu asiyependa mwili wake utobolewe kwa risasi? Wewe yaonesha hujawi kufanya kazi na makamanda kama Kony, Idi Amini au Mobutu, etc. Makamanda kama hao ndio tulionao kwa sasa Dar.
   
Loading...