Kiongozi wa uamsho ahojiwa kuzama kwa meli zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiongozi wa uamsho ahojiwa kuzama kwa meli zanzibar?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Jul 19, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  ni kundi la waandishi wa habari kutoka Nje ya nchi na watz bara wakiona umuhimu wa maelezo wa mmoja wa viongozi wakuu wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar hapo Malindi. Kabla ya tukio hili. badhi ya vyombo vya habari hasa vya Tanzania bara vilaindika vibaya jumuia hii hasa kuhusu kuchomwa moto makanisa. Anehojiwa na waandishi wa habari
   
 2. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,072
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  kwa io ulitaka waandke kafanya vizuri kuchoma makanisa?
   
 3. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  ngoja aje awaamshe aliopo hapow
   
Loading...