Chunya Lupa , Watu Wanne wameuawa na Sungu sungu!!!!!!!!!!!!!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Watu Wanne walikamatwa na Sungu Sungu Maeneo ya Lupa Chunya kwa Makosa Mbali mbali na kupelekwa Mstinu na kuteswa vibaya na kuwatelekeza wakiwa hoi.

Taarifa zinaonyesha kuwa watu hao wamefariki na Sungu Sungu wamekimbia .Jeshi la Polisi linaendesha Msaka wa Sungu sungu na watu waliotekwa!!!


Eneo hilo ni Ngome ya Chadema na ndipo mahali palipo tokea tukio la kuuawa Mwanafunzi aliyefia mikononi mwa polisi
 
Back
Top Bottom