serikali na vyombo vyake wananufaika vipi kushusha idadi ya waliofariki katika ajali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

serikali na vyombo vyake wananufaika vipi kushusha idadi ya waliofariki katika ajali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Jul 19, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  wanapopunguza idadi ya kura za wapinzani huwa nawaelewa wana maana gani, lakini kama watu 60 wanakufa na wao wanatangaza 12 huwa sijui wana maana gani......
   
 2. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wanaficha udhaifu ili ionekane idadi ya waliokufa ni ndogo kwa hiyo wananchi hawatahoji sana.Kumbuka mapungufu yaliyojitokeza huko nyuma hayakufanyiwa kazi.
   
Loading...