Meli iliyozama: Uokoaji Tanzania ni janga la kidunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meli iliyozama: Uokoaji Tanzania ni janga la kidunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulukolokwitanga, Jul 19, 2012.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nimesikiliza Channel Ten wamewahoji maafisa walioenda kusaidia uokoaji katika meli ya Mv Skagit wanasema walikuwa wanavizia wajeruhi na maiti waliokuwa wanaelea majini. HAKUNA MZAMIAJI hata mmoja aliyezama chini iliko meli kuangalia kama kuna wananchi wenzetu waliojifungia kwenye vyumba vya meli kujiokoa. Na hata leo hakuna mpango wa kuzamia na kwenda kwenye vyumba. Wakati Mv Spice imezama tuliambiwa pale Nungwi mkondo ni mkali hawawezi kuzamia, sasa nashangaa hata hapa pa jana ambapo maCaptain wanakadiria kina cha mita 30 watu hawazamii kuwatoa majeruhi. Huenda hii ni janja ya serikali kupunguza idadi ya vifo kwa kupata maiti wachache maana hata ukisoma vyombo vya habari kuhusu Mv Spice official death ni 20 huenda wanataka na hii Skagit official death ibakie 31.

  Ushauri: watumiaji vyombo vya majini kama chombo kinazama usithubutu kujifungia kwenye vyumba kusubiri kuokolewa kwani uokoaji Tanzania ni janga la kidunia. Ukijifungia kwenye vyumba ndio kaburi lako huko. Nchi haina wazamiaji maskini. Poleni ndugu zetu mliopata maafa.
   
 2. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Tunafunga Mhimbili kisa,
  Bandage na gloves,
  hao Scuba Divers tutaweza?
  nchi iko kwenye Free Fall

  G ndo ina Act,

  Tujiandae kujibamiza.
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Serikali imejipanga halitajirudia tena!
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  tuna hali ngumu kiukweli!
  ishu yakipaumbele hapa nchini kwetu hakuna...
  na hii inaanzia juu kabisa (uongozi)
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Inaonekana hii serikali yetu ina mgogoro na utaalam, hawaoni umuhimu na hawataki kuthamini utaalam. Haiwezekani tunaambiwa vikosi vya ulinzi na usalama vimeenda kumbe wameenda kuvizia watu na maiti zinazoelea majini sio kuifuata meli iliko.
  Jamaa wa Red Cross anasema hata vifaa vya uokoaji wanajeshi wameazima red cross
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Halijirudia tena LIWALO NA LIWE, kesho nahodha akifikishwa mahakamani ndo itakuwa mwisho kujadili hii Mv Skagit maana suala hili litakuwa mahakamani kulijadili itakuwa ni kuingilia uhuru wa mahakama
   
 7. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  unamaanisha nn unaposema serikali imejipanga hali hii hairudii tena ihali unajua si muda mrefu meli ilizama nungwi na kupoteza maisha ya watanzania na jana hali imejirudia tena sehemu tofauti meli imezama .kwa mtazamo wako nahodha akifikishwa mahakamani unaona utakuwa umefunga watu midomo wasijadili ,unaona ni sawa badala ya kutulia na kuangalia nini kilisababisha. kuna idara kama hali ya hewa ,walitoa tamko gani kwa vyombo hivi vya majini kusafiri kulingana na kanuni na taratibu zao .
   
 8. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hii ni zaidi ya Tanzania tuijuwayo. Maajabu ya dunia!!!
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,698
  Trophy Points: 280
  Serikali DHAIFU haina uwezo wa kununua vitendea kazi vya kuwaokoa waliokumbwa na ajali ya aina yoyote...lakini ina uwezo wa kununua mashangingi ya bei mbaya, kulipana maposho ya mabilioni na kwenda kubembea nchi za nje.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,698
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Disaster at sea [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Thursday, 19 July 2012 07:49 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  [​IMG]By Salma Said,
  The Citizen Correspondent
  Zanzibar.

  More than 100 people are feared dead after a ferry travelling from Dar es Salaam capsized few kilometres from Zanzibar town.
  Shock and disbelief engulfed many people on hearing the news, less than a year after a major marine disaster hit the archipelago in September last year when about 800 perished after another ship, Mv Spice Islanders capsized on its way to Pemba.

  The accident took place at Pungume, about 48km from Zanzibar. There were conflicting statements on the number of people who boarded the passenger and cargo ferry christened MvSkagit, those who were rescued and bodies that were retrieved from the sunken ship.
  While some sources said 200 people were on board, others said there were about 400 passengers when the ship left Dar es Salaam port.

  As of 7.30pm, 138 people had been rescued from the ship and 17 bodies had been retrieved. Twelve tourists were among those rescued. The bodies of two children and one adult had been recovered from the sea as at 6.05pm yesterday, with the rescue mission by police, marine authorities and private parties at full blast. Anxious relatives gathered at Zanzibar Port soon after reports of the disaster spread, trying to get information on the status of their relatives.

  The deputy permanent secretary in the second Vice President Office, Mr Said Shaaban, confirmed the accident but could not give further information. It is widely believed, though, that bad weather could be one of the causes.

  Mr Shaaban said: "It is very unfortunate and I am sorry to confirm that the accident has indeed occurred and rescue operations are underway... we have already dispatched rescue teams t the scene to assist the survivors."

  An official of the Tanzania Meteorological Agency (TMA), Dr Hamza Kabelwa, told the BBC's Swahili service that there were strong winds over the Indian Ocean yesterday as a result of high pressure in the area and TMA had warned marine vessels of the situation. "Our predictions show that the condition will persist until tomorrow (today)," he said. "Therefore, marine travellers should be careful."

  Unconfirmed reports said that about 400 passengers, including 31 children, were on board the ship owned by a company called Seagull when it left Dar es Salaam Port at midday yesterday. It was scheduled to arrive in Zanzibar at around 3.30pm but reportedly capsized midway at around 1.30pm.

  Various government officials, including the second Vice President, Ambassador Seif Ali Iddi, were at the port alongside the minister for Communication and Infrastructure, Hamad Masoud Hamad, whose docket includes marine transport. They boarded boats to get to the scene of the accident. Earlier reports said about 10 people managed to escape from the sinking ship. Rescuers said about 60 people were trapped in the ship. Police and other rescuers were working hard to get to the bodies.

  Four boats, including some from the government and Azam Marine, a private ferry company, were dispatched to the scene soon after the news broke to help in the rescue operations.

  Ambassador Iddi asked people gathered at the port to be calm and wait at home for news on further developments.
  He assured the public that the government would do everything within its powers to rescue passengers on the ship. But rescue boats could not leave immediately for the accident scene because of a reported lack of fuel.

  Meanwhile, the House of Representatives suspended its business yesterday evening and all members joined thousands of Zanzibaris at the port as they awaited information on the rescue operations.
  Those who were rescued from the ship were taken to Mnazi Mmoja Referral hospital for treatment and the bodies were taken to Maisara grounds.


  BACKGROUND: MV SPICE ISLANDER
  On September 10, last year, the Mv Spice Islander I, a passenger ferry with at least 800 travellers on board, sank off the coast of Zanzibar. Six hundred and twenty passengers were rescued from the sinking ferry. The ferry was travelling between Unguja and Pemba, two islands off the coast of mainland Tanzania, when it capsized.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 11. SASATELE

  SASATELE Senior Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi hii sijui tunakwenda wapi? juzi tu ilitokea ajali lakini hatujajifunza kuwa tayari kwa majanga kama ajali? au mpaka rais au waziri mkuu apate ajali ndipo tutakuwa tayari.

  Tatizo kubwa ni kwamba waliopewa dhamana ya uongozi nchi hii wanafanya kazi bila ubunifu walambinumpya, ni hali ya "bora liende"
   
 12. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Bora nchi hii ipinduliwe tu!
   
 13. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  viongozi wetu ni wazuri sana wa kutoa pole,utendaji zero.
   
 14. f

  filonos JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  dooooouuuuuu!....!!!!!!!!!.Raiya mshoke andreea kua mvumilvuu
   
 15. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  ''Hata hivyo, ilielezwa kwamba boti za polisi zilichelewa kwenda katika eneo la tukio kutokana na kukosekana kwa mafuta'' - Gazeti la Mwananchi, 19th July 2012
   
 16. Dhuks

  Dhuks JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1,471
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Antics by the Tanzania government to keep the numbers low are laughable but the flak should go to the local press instead; who waits for government figures when disaster occurs? By now they should have investigated the actual number of those who boarded the ill-fated ferry, exaggerate the figure so that in denial the government is forced to account for discrepancy in figures.
   
 17. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hii hali haikubaliki kabisa kwa Polisi kukosa mafuta ya boti. Polisi yetu haina inachofanya vizuri kwa kweli
   
 18. kibai

  kibai JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inaogopesha sana, lakini mimi kilicho nishangaza ni watu wafe hapo kati ya Znz na Dar, ina maana hakuna hata ulinzi, jeshi halina namna ya kulinda hapo? kwasababu kama ingekuwa kuna ulinzi wangeona tukio na kuwahi haraka na meli, hatuna kweli meli za kasi zinaweza kuona tukio na kuwahi hata zile za magufuli za samaki hazipo? napata mashaka sana na usalama wetu, kwa sababu wangekuwepo wanachungulia wangeona na ku act quickly lakini hii ina maana hakuna ulinzi mtuanweza tia timu hata na meli kubwa kabisa ya kivita na kusambaratisha sk tu.
  kweli tanzania ni nchi masikini.
   
Loading...