Hivi kwa nini TV za Bara zinadharau majanga yanayotokea visiwani Zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini TV za Bara zinadharau majanga yanayotokea visiwani Zanzibar?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by silent lion, Jul 18, 2012.

 1. s

  silent lion JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u
   
 2. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ngoja tucheck mafolders tuone wakati wa MV BK, huko hali ilikuaje ilitubalance comments.
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Mambo ya nchi ya kigeni haituhusu. Ila tunawapa pole tu inatosha.
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Liwalo na liwe
   
 5. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nimemsikia mmiliki wa meli akisema kuwa kwa kuwa ajali imetokea kwenye 'maji ya bahari ya Zanzibar', inakuwa vigumu vikosi vya uokoaji vya Bara kwenda kwenye eneo la tukio. Bila shaka hata TV za Bara zinapata wakati mgumu kuingia kwenye 'maji ya Zanzibar'! Mungu tusamehe tuurudishe Muungano!
   
 6. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Usichachanganye hukumu na jazba, huu ni wakati mgumu kwa taifa.
   
 7. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Muiteni mama ............. aka bimkora awasaidie,si mnataka kuvunja muungano?
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  TV za zanzibar zinafanya nini sasa hivi?
  Zimeenda kwenye tukio?
   
 9. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  kwahiyo muungano basi
   
 10. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha upuuzi, watu wapo kwenye simanzi na bize kushughulikia tatizo ww unaleta uchochezi wa kipuuzi
   
 11. s

  silent lion JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Sio uchochezi ndugu ila sio jambo jema kupiga ngoma kipindi kama hichi. Nimekutana na mzee mmoja bandarini analia kwani mwanawe ni mmoja wa abiria na hajui kama yu hai au amekufa. Sasa wakati mzito. Na vyombo vya habari vinatakiwa vijue hilo
   
 12. S

  Sept-11 Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  sio tv tu ata speaker wa bara alikua anaendeleza bunge.. Polen sana wafiwa
   
 13. Ntaramuka

  Ntaramuka Senior Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sio Tv ZA zanzibar, zanzibar kuna tv moja tu, Tvz
   
 14. s

  silent lion JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Zipo kwenye eneo la tukio na zimesimamisha vipindi vyengine vyote
   
 15. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,868
  Likes Received: 4,712
  Trophy Points: 280
  Hilo ni pigo la kuchoma makanisa huku mkifurahia. Mungu mkubwa. . . . . .
   
 16. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Hiyo ni nchi nyingine haituhusu,hata mama karume analitambua hilo
   
 17. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ila wajameni sio sawa, yani kama mtu hatumii internet hawez kujua nini kimetokea.! Tv za bara hata kupitisha subtitle za breaking news wapi..lol tanzania hii
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  hivi hujui kuwa reporter wa TV kutoka mainland akienda huko anadai posho ya kuwa nje ya nchi?
   
 19. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Zanzibar ni nchi bebeni mizigo yenu .
   
 20. KANDA MBILI

  KANDA MBILI Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  Kwa hiyo leo ndio mmejua bara ni ndugu zenu??? Wakati wa mauaji ya arusha ninyi mlifanya nini?? Uamsho wapo ngojeni waje wawape pole
   
Loading...