Good morning wana jf. mwenzenu mbona naona kama network zinakata kila nikiangali ule ujenzi unaoendelea pale jangwani. maana navojua eneo lile ni bonde la mto Msimbazi, ambapo pia ni mkondo wa...
Katika hali ambayo sikuwa najua lakini leo hii baada ya viongozi wa BAVICHA kuwasili hapa kwetu Mpanda Mjini nilivutiwa sana na Gwanda.Sikuishia kulitazama bali ilinibidi niulizie namna ya...
Wakati wa kuchangia bajeti ya wizara ya madini na nishati Vita Kawawa alitoa hoja akimtaka spika apange muda wa kujandili humo bungeni tuhuma zilizoelekezwakwa baadha ya wabunge kwamba walikuwa...
Pole na shughuli.
Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao...
GERALD HANDO ANATUMIA VIBAYA NAFASI YAKE YA UTANGAZAJI WA KIPINDI CHA POWER BREAKFAST CHA CLOUDS FM:
Katika kumsikiliza Gerald Hando jana 03/JULAI/2012 na leo 04/JULAI/2012 katika segment yao...
Nimenunua line yangu ya zantel majuzi hapa baada ya kuhamasishwa na promo za nguvu. Sasa nimeweka kwenye simu yangu ya line 2 nikawa natumia. Sasa majuzi j4 nikawa nimeweka buku kisha nikatuma msg...
Nimefikiria sana suala la kuzama meli zanzibar na nikaangalia usalama wa vyombo vingine nilivyowahi kusafiria tanzania. Nimeikumbuka hii meli Mv Liemba ya lake tanganyika ambayo ni ya zamani sana...
Nilishangazwa sana na uwezo wa mwandishi mwandamizi wa gazeti la mwanahalisi bwsaed kubenea kupata, kuharir na hata kutoa bila woga wowote taarifa nyeti za mawasiliano ya watuanaodai wanahusika na...
Written by zamko // 25/07/2012 // Habari // No comments
Asalamu alaikhum ndugu Wazanzibari wa ndani na nje ya Visiwa vyetu adhimu.Natumai kila mtu atakua amekasirishwa na matokeo...
WIZARA ya Nishati na Madini imewahakikishia Watanzania kwamba hakutakuwa na mgao wa umeme kwani kiasi cha upatikanaji wa umeme kwa sasa kinakidhi mahitaji.
Jana Katibu Mkuu wa wizara ya nishati...
Heshima kwenu wanabodi katika miezi ya karibuni issue ya dr. Uli imetawala vichwani mwa watu wengi.pamoja na issue yenyewe ikigubikwa na sintofahamu kuanzia utekwaji,uundwaji wa tume na ushaidi wa...
Ili nchi iwe na mabadiliko ni lazima sisi wananchi ndio tubadilike,hata kiingie chama gani madarakani kamwe awawezi leta mabadiliko ikiwa jamii yetu itaendelea kua doro hivi! Inatakiwa ifike...
Jumamosi tarehe 14 Julai, 2012 Mwenyekiti wa tawi la Magadirisho Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Nuru Maeda alihamia Chama Cha Mapinduzi. Tawi hili lilimpoteza kiongozi huyu aliyejipatia...
Mtu aliyepanga njama za kutaka kumuuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amepatikana na hatia.
Mahakama ya Pretoria ilimpata kiongozi wa kundi la -Boeremag linaloamini kuwa...
NI takribani miaka mitatu tangu pori la akiba la Mkomazi libadilishwe na kuwa hifadhi ya taifa. Kipindi hiki si kirefu lakini yapo mengi ya kujivunia kwa hifadhi hii inayolitangaza taifa duniani...
Wakuu,
najua baadhi yenu mnajua ninachouliza. Ni kwamba nilifungua account ya facebook lakini hatimaye sioni faida yake. Nimeamua niifunge yaani nisiwe nayo kamwe. Iwe deleted kama inawezekana...
Tanzania nchi yenye madini ya kila aina tele,mito inayoririka maji mwaka mzima,maziwa na mabwawe mengi. Lakini kuanzia Bajeti ya fedha 2011-2012 rushwa imeshamiri ndani ya wizara na idara...