Thamani ya gwanda la chadema hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thamani ya gwanda la chadema hii hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wakurogwa, Jul 25, 2012.

 1. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katika hali ambayo sikuwa najua lakini leo hii baada ya viongozi wa BAVICHA kuwasili hapa kwetu Mpanda Mjini nilivutiwa sana na Gwanda.Sikuishia kulitazama bali ilinibidi niulizie namna ya kulipata ndipo niliwauliza vijana waliokuwa wanayatembeza pale mkutanoni lakini nilistushwa na thamani ya lile Gwanda kumbe huwezi kulipata bila kuwa na TSHS 75,000/= sabini na tano elfu sasa nikajiuliza inakuwaje wanasema WaTZ tumepigika halafu Gwanda liuzwe kwa bei kubwa kiasi hiki.Kweli hapo kuna dhamira ya kututoa kwenye umasikini?Muungwana vitendo!!!!!
   
 2. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Wewe ulijua ni shilingi ngapi? Na kinachokutoa kwenye umasikini ni kuvaa gwanda au kufanya kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu ya matumizi yako?
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nadhani kuu umezowea za bure za c c m gwanda mwaka jana lilikuwa linauzwa laki sasa limepuguwa kesho naenda kununua makao makuu kinondoni manyanya pesa namkabidhi dr slaa mkono kwa mkono
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tisheti bure...ubwabwa loh...
   
 5. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Haya ni mawazo ya mtu duni sana,no reasoning at all but just complaining.Inaelekea ninyi ndo mnawahoji viongozi wenu kama watawaletea nguo.Hilo gwanda wamenunua kitambaa,wameshona na kumlipa fundi kisha ndo lipo sokoni kwa bei hiyo,kinachokushangaza ni nini? Mi nimeshona suti ya kawaida kabisa kwa bei hiyo hiyo...Pia napata shaka kama japo utajitahidi umnunulie mkeo wax ya 50000tsh maana unaonekana bahili kweli.Acha kujitangazia dhiki,kula kwa urefu wa kamba yako,fanya kazi,weka hela SACCOS au bank na siyo baa,usipende vitu vya bure,usilaume kutopewa usichoweza kutoa kisha mwombe Mungu naamini utafanikiwa!
   
 6. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Nikichanganya hapo kwenye RED na BLUE jibu ninalopata ni kwamba wewe si mfuasi wa CHADEMA inagawaje umetaka kushawishi uonekane hivyo.....ulichokusudia kusema ni kwamba CHADEMA hawana lolote na kauli zao za kuhuzunishwa na umaskini wa TZ ni propaganda tu za kisiasa!!

  Mimi sio CHADEMA na wanazi wa CHADEMA wa humu JF wanafahamu hivyo, haidhuru hata kama wakati mwingine wananiita GAMBA ingawa hata hilo GAMBA nami nipo mbali nalo!1 Lakini pamoja na hayo, ningekushauri tu kwamba "acha kukuza mambo," ya ndani ya CHADEMA waachie wenyewe na wala hayana negative effect kwa mustakabali wa taifa hili.
   
 7. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kuvaa gwanda si kuwa wewe unakipenda sana chama.........hiyo ni uniform tu na si lazima kuvaa kama unaona ghali yanini kuleta hapa kwa kulalamika unatamani huku huna pesa?
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Wachaga hao, bado hujauliza CD ya mauaji ya Arusha. Duka la mzee Mtei halitegemei ruzuku tu.
   
 9. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata kama ni hivyo bado kwa maisha ya mtanzania hata wa Chadema hawezi kununua bei ni kubwa sana nimeshuhudia hakuna mtu hata mmoja aliyenunua Gwanda pale mkutanoni kwa ajili ya bei kuwa kubwa.Sasa kama ndiyo sare ya Chama inauzwa bei kubwa kivile siyo fair.Sare inatakiwa kuuzwa bei ambayo ni fair au hata bure mbona Tshirt za M4C zilinunuliwa yale magwanda ghali sana bana 75,000/=Halafu kwa taarifa zako mimi sina njaa kihivyo hapa mi nachana ukweli acha unafiki wa kila kitu we ni kufagilia tu usiwe kama panya!!
   
 10. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama unaona ni bei kubwa kanunue kitamba town mpelekee fundi akushone gwanda
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Mkuu pole sana, najua ukombozi wa kifikra kwako bado sana, nachelea kusema kwamba wewe ni miongoni mwa wale wanaodhani kuwa CDM wakiingia ikulu basi mabomba nchi nzima yatatoa maziwa, sukari dukani itauzwa sh.50, au vitu vyote vitakuwa ni bure. Maisha bora kwa kila mtanzania hayaji kwa kugawa vitu bure au kuuza kwa bei ndogo sana, mbona CCM kwenye chaguzi wamewahonga vitu vingi(tisheti, khanga, vitenge, kofia, n.k) lakini maisha bora hamjayaona?
  Upande wa pili ninavyohisi inawezekana kabisa wewe una akili timamu na unajua unachokifanya, aidha ndio ajira yako ya kusaka tonge kwa kutuletea na kutujazia jukwaa porojo za kimagamba, udaku,ushakunaku, unafiki na upumbavu unaoujua wewe ili kuaminisha watu kuwa CDM haiwezi kuleta maisha bora kwa watanzania, hii labda ungejaribu kwenye forums nyingine lakini sio hapa JF "GT", kumbuka vilema waliopo hapa JF ni magamba tu peke yake wengine wote ni GT
   
 12. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo kwenye RED mimi sijasema hivyo hayo ni yako nafikiri umeamua kuwasema kwamba hawana lolote ila bado nasema bei ya gwanda ni kubwa sana huwezi kuuza sare kwa Tshs 75,000/= bana we vipi?Kimsingi hatujadili mambo yaliyojificha bali tunajadili yale yanayoonekana!!
   
 13. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Bibi yangu mzaa mama alikuwa na huu msemo "Fumbo Mfumbe Mjinga, Mwerevu Atalifumbua" RIP Grandma!!!
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  mwingulu za siku? Bado hauja tubu? Naona laana bado ina kuandama ndio maana swala la mauaji haliishi mdomoni mwako.

  Laana ni kitu kibaya sana.
   
 15. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa hapa ndiyo eneo sahihi ya kusema jambo kama hili huwezi kusema wananchi wamepigika lakini bado we unauza sare kwa bei kubwa ya 75,000/=Nafikiri hata wewe uliooona thread hii umestuka na ndiyo maana umeamua kucomment kwa sababu bila kutetea hii hoja utaonekana ushabikii chama chako vizuri shida yako akili yako umeikalia kwa kutumia tofali.
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Picha ile haitawaondoka wana Singida, mauaji yale ni kinyama haijapata kutokea. Tunashukuru wauaji wanaendelea kukabiliana na mkono wa sheria japo walioagiza mauaji haya wanaendelea kutembelea magari yenye AC
   
 17. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,201
  Likes Received: 1,332
  Trophy Points: 280
  kumbe kununua Gwanda ni lazima nilikuwa sijuwi
   
 18. W

  Wakurogwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi ninachotaka watengeneze mengi lakini siyo kwa bei ya 75,000/= ni kubwa sana na ndiyo maana wanachama wengi hawana hili gwanda pia wengine ukiwakuta wamevaa basi ni shati lake tu chini jeans.Naanza kupata wasiwasi inawezekana wanafanya mtindo wa kugawana wanachanga pesa halafu mmoja anadaka suruali mwingine shati sasa hii ndiyo nini.Punguzeni bei bana watu wayanunue.Ni aibu wale vijana wamezunguka mkutano mzima lakini Gwanda hazikununuliwa.
   
 19. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,201
  Likes Received: 1,332
  Trophy Points: 280
  bilashaka naona uhusiano wa jina lako na post yako
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,019
  Trophy Points: 280
  Wakurogwa, usijali ntakushonea gwanda la kanga
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...