Maombi ya maoni yenu kwa idea ya Gushit "yakiTz kwa waTz" katika African News Innovation Challenge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi ya maoni yenu kwa idea ya Gushit "yakiTz kwa waTz" katika African News Innovation Challenge

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdeesingano, Jul 29, 2012.

 1. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole na shughuli.

  Samahani, Gushit Team tunaomba utusaidie maoni/mawazo yako katika idea yetu ambayo imefanikiwa kuvuka hatua ya kwanza ya African News Innovation Challenge(ANIC) ambao wanataraji kuwapa washindi si chini ya $1.0m.

  Waandaaji (ANIC) wameweka wazi kwamba wanahitaji idea zipate comment/criticism/mawazo ya watanzania na mashabiki wengine ili kutuvusha katika hatua nyingine tena ya pili baada ya kuvuka ile ya kwanza.

  Ili kuweka comment/criticism/mawazo au maoni yako katika idea yetu tafadhali click/tembelea link hii:

  African News Innovation Challenge | Gushit "yakiTz kwa waTz" - Tanzania's crowdsourced new aggregator

  Ahsante
  Gushit Team
   
Loading...