Zantel, hata nyie! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zantel, hata nyie!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Jul 28, 2012.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nimenunua line yangu ya zantel majuzi hapa baada ya kuhamasishwa na promo za nguvu. Sasa nimeweka kwenye simu yangu ya line 2 nikawa natumia. Sasa majuzi j4 nikawa nimeweka buku kisha nikatuma msg 1 tu. Keshokuwa yake nikacheki salio nikashangaa liko mia 8 hivi. Nikasema ngoja niicheki trend.

  Juzi nikacheki nikakuta 766. Jana 623. Muda huu ninaoandika ni sh. 577! Inawezekana kweli? Zantel mnatuibia? Iko wapi hiyo thamani ya promo yenu? Laini yenu nitaiweka kapuni
   
 2. K

  Kayinga junior Senior Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hapa mjini oho
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wezi hawa Zantel, kuna siku niliweka elfu 15 kwenye modem zao, nikajiunga na Mono package ya 2 GB, huwezi kuamini nimeangalia imeil moja tuu. Ikakata na kusema recharge your account. Nilichoka, Nimehamia airtel!
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Mi naipenda Customer Service yao tu...sauti nyororo kwa wadada murua inakubembeleza we...mpaka mwenyewe unaona sasa basi....ila line yao mpaka leo ipo kwenye wallet
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hao ndio Zantel. Ngoja nimalizie kivocha nilichoweka then nikaifiche mbali kabisa line yao. Wizi mtupu!
   
 6. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Daaah ! nimepata jibu, mie nina modem zile kama disket zinaitwa CDM. hapo kama niliikuwa nikiweka buku 2, na enjoy JF hata kwa 4hr bila kudowlod au upload, sasa hivi nikiweka buku mbili mara nikifungua ukurasa wa JF, HELA IMEISHA ! kwa,sasa naenjoy Kupitia Htc !
   
Loading...