Africa's Five Most Peaceful Nations 2012 siioni Tz (Kisiwa cha Amani) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Africa's Five Most Peaceful Nations 2012 siioni Tz (Kisiwa cha Amani)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DT125, Jul 31, 2012.

 1. D

  DT125 JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Global Peace Index Rankings ambao hutoa orodha ya nchi zenye amani dunia kila mwaka kwa nchi zote duniani. Kwa mwaka huu 2012 Botswana ndiyo nchi inayoongoza kwa amani barani Afrika ikiwa ni ya 31 duniani kati ya nchi zote duniani. Nchi hizo tano ni;1. Botswana - Duniani ni ya 312. Mozambique - Duniani ya 483. Namimbia - Duniani ya 494. Ghana - Duniani ya 505. Zambia - Duniani ya 51Waweza kuangalia vigezo wanavyotumia kwa kutembelea " global peace index rankings"
   
 2. Shekhe Gorogosi Jr

  Shekhe Gorogosi Jr Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sisi tutakua wa 3455
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Huko hakuna wataalamu wa kung'oa meno na makucha na hawana misitu kama Mabwepande
   
 4. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tanzania haiwezi kuwepo maana hapa hatuna amani ni woga na hao global peace hawapimi woga.
   
 5. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tanzania is "calm" but not peaceful. Tofautisha kati ya neno "amani" na neno "utulivu". Vyote vinaweza ku-coexist, kwa maana ya kwamnba vinaweza kuwepo vyote kwa wakati mmoja, au pakawa na kimojawapo tu (ututlivu), bila kingine kuwepo. Amani inategemea ututlivu, ila utulivu unajitegemea na hautegemei amani. Unaweza ukawepo hata pasipo amani kuwepo.

  Ingekuwa unaongelea "calmness index", lazima tungechukua namba moja,..., sijui kama umenielewa vizuri!
   
 6. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  IN THE WORLD

  http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/1a/Global_Peace_Index_2011.png/450px-Global_Peace_Index_2011.png[img]

  World map of the Global Peace Index 2011. Countries appearing more
  green are ranked as more peaceful, countries appearing more red are
  ranked as less peaceful.

  Ya kwanza ICELAND ya Mwisho SOMALIA Tanzania ya 58 of 158 RANK
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hivi max tunajipa wenyewe lakini kumbe darasani kwenye mtihani tunapata o.
  pole ya ccm na propaganda zao.
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Mkuu Somalia ni ya 158 kati ya 158 ikitanguliw ana Afghan , Sudan, Irak, DRC,
   
 9. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hatuwezi kuwepo ata kwenye list ya 10000 bora,kila kukicha viongozi ndo wanatoa matamshi ya kutuchochea!mara kuna udini,ufisadi,wizi,vitisho,haki za binadanam,polis kuua raia,n.k.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni ya 55 duniani
   
 11. s

  sekiabi New Member

  #11
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatuna vigezo ubabe mwingi kwetu
   
 12. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Neither peace nor security therefore ni ubabe na uhuni tu.

  Madhila ya dhuluma na uhalifu wa kutisha ktk jamii zetu wenzetu hawaviiti amani. Utulivu upo kiasi ila ni kwa sababu ya ujinga (huzaa woga) na kwa sehemu unafiki wa Watanzania, lakini amani na usalama havipo countrywide.

  Statistics are what statics is.
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
   
 14. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  ooh Okay I got the answer

  IN THE WORLD

  [​IMG]

  World map of the Global Peace Index 2011. Countries appearing more
  green are ranked as more peaceful, countries appearing more red are
  ranked as less peaceful.

  Ya kwanza ICELAND ya Mwisho SOMALIA Tanzania ni ya 58 of 158 RANK

  KATIKA NCHI ZA KIAFRIKA TANZANIA IMESHIKA labda NAMBA 7,

  KENYA YA 120, NA UGANDA YA 98

  NADHANI NI KUTOKANA NA MIGOMO, kuua Albino,kuua Watalii NA MAMBO YA UAMSHO
   
 15. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahisi ishu ya ma albino imezidi kutuondoa kwenye rank

  liwalo na liwe
   
 16. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Siku wajinga wakielimika tutakuwa kwenye Nyekundu, na hii haiko mbali sana.
   
 17. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu "kisiwa cha Amani" huwa ni kibwagizo tu. hakuna aman TZ,

  WALIMU wanashitakiwa na serikali mahakaman,DOCTORS wanashitakiwa na serikali mahakaman,
  MAFISADI wanatanua Bungeni na Mitaani?
   
 18. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  The main findings of the Global Peace Index are: -- Peace is correlated to indicators such as income, schooling and the level of regional integration -- Peaceful countries often shared high levels of transparency of government and low corruption -- Small, stable countries which are part of regional blocs are most likely to get a higher ranking
   
 19. mito

  mito JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,618
  Likes Received: 2,006
  Trophy Points: 280
  Nadhani hujui chimbuko la Tanzania kuitwa 'kisiwa cha amani', pia hujua factors wanazoangalia hao Global Peace Index.....
   
 20. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  hHahha wewe kila kitu ni KUPOTOSHA tu!


  121 GPI rankings Countries most at peace ranked first Rank Country Score 1 Norway 1.357 2 New Zealand 1.363 3 Denmark 1.377 4 Ireland 1.396 5 Japan 1.413 6 Finland 1.447 7 Sweden 1.478 8 Canada 1.481 9 Portugal 1.481 10 Austria 1.483 11 Belgium 1.498 12 Germany 1.523 13 Czech Republic 1.524 14 Switzerland 1.526 15 Slovenia 1.539 16 Chile 1.568 17 Slovakia 1.571 18 Hungary 1.575 19 Bhutan 1.611 20 Netherlands 1.620 21 Spain 1.633 22 Oman 1.641 23 Hong Kong 1.657 24 Uruguay 1.661 25 Australia 1.664 26 Romania 1.682 27 Poland 1.683 28 Estonia 1.684 29 Singapore 1.692 30 Qatar 1.702 31 Costa Rica 1.702 32 South Korea 1.719 33 Italy 1.724 34 France 1.729 35 Vietnam 1.729 36 Taiwan 1.731 37 Malaysia 1.744 38 United Arab Emirates 1.747 39 Tunisia 1.762 40 Ghana 1.765 41 Madagascar 1.766 42 Botswana 1.786 43 Lithuania 1.788 44 Greece 1.791 45 Panama 1.798 46 Kuwait 1.818 47 Latvia 1.848 48 Morocco 1.893 49 United Kingdom 1.898 50 Mozambique 1.909 51 Cyprus 1.915 52 Argentina 1.923 53 Zambia 1.930 54 Bulgaria 1.936 55 Paraguay 1.946 56 Gabon 1.952 57 Tanzania 1.966 58 Libya 1.967 59 Cuba 1.968 60 China 1.980 61 Kazakhstan 1.995 62 Bahrain 1.995 63 Jordan 1.997 64 Namibia 2.003 65 Senegal 2.017 66 Nicaragua 2.020 67 Croatia 2.030 68 Malawi 2.038 69 Bolivia 2.052 70 Peru 2.056 71 Equatorial Guinea 2.059 72 Moldova 2.059 73 Egypt 2.068 74 Dominican Republic 2.071 75 Bosnia and Herzegovina 2.089 76 Cameroon 2.093 77 Syria 2.106 78 Indonesia 2.111 79 Mexico 2.125 80 Ukraine 2.150 81 Jamaica 2.164 82 Macedonia 2.170 83 Brazil 2.173 84 Serbia 2.181 85 Cambodia 2.197 86 Bangladesh 2.219 87 Ecuador 2.219 88 Papua New Guinea 2.223 89 El Salvador 2.244 90 Saudi Arabia 2.246 91 Kenya 2.258 92 Turkey 2.272 93 Guatemala 2.285 94 Trinidad and Tobago 2.286 95 Yemen 2.309 96 United States of America 2.317 97 Iran 2.320 98 Honduras 2.390 99 South Africa 2.399 100 Philippines 2.428 101 Azerbaijan 2.448 102 Venezuela 2.453 103 Ethiopia 2.479 104 Uganda 2.489 105 Thailand 2.491 106 Zimbabwe 2.495 107 Algeria 2.503 108 Myanmar 2.524 109 India 2.530 110 Uzbekistan 2.542 111 Sri Lanka 2.575 112 Angola 2.587 113 Cote d'Ivoire 2.638 114 Lebanon 2.662 115 Pakistan 2.697 116 Colombia 2.770 117 Nigeria 2.898 118 Russia 2.903 119 Israel 3.033 120 Sudan 3.182 121 Iraq 3.437
   
Loading...