Kukithiri kwa rushwa tz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukithiri kwa rushwa tz.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kayege, Aug 1, 2012.

 1. k

  kayege New Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndg watanzania wenzangu hii rushwa ivi chanzo chake hasa nn?Sasa imeanza kuingia hadi kwenye chama ninachokipenda nadhani wote mnakijua ambacho kimeibua mambo mengi sana wengi wetu tulikuwa hatuyajui nikianza na swala la "RICHMOND","EPA"sasa hapa napata kigugumizi tena ninaposikia kuna mh.flani huko mjengoni alifoka sana nanukuu"kuna wabunge wengine humu ndani walikuwa wakipinga swala la posho kumbe wao walijua wanategemea posho zao zitapatikana wap?"Hapa naona nina aliyekuwa akilegwa na usemi huu.
   
Loading...