CDM itaendelea kuvumilia undumira kuwili wa Zitto Kabwe mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM itaendelea kuvumilia undumira kuwili wa Zitto Kabwe mpaka lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Byendangwero, Jul 27, 2012.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Baada ya bodi ya Tanesco kumsimamisha mkugenzi wa shirika hilo la umma kwa tuhuma za ufizadi Zitto Kabwa alijitokeza hadharani kupinga hatua hiyo, na tangu wakati huo vyombo vingi vya habari vimekua vina,taja kuwa miongoni mwa wabunge waliopewa hongo na hao watendaji waandamizi wa Tanesco waliosimamishwa ili kuwatetea. Kwakua Zitto mwenyewe hajazikana habari hizo, nachukulia ni za kweli. Leo hii kambi ya upinzani, ambayo Zitto ni maibu kiongozi wake, imetoa msimamo wake kuhusiana na sakata hilo la Tanesco,; msimamo huo wa kambi la upinzani unakinzama kabisa na msimamo alionao Zitto juu ya suala hilo. Ni jambo la kawaida kwa watu waliyo kwenye kambi moja kuhitirafiana kimawazo; hata hivyo panapojitokeza hali hiyo, haina budi wahusika wote wajadiliane ili upatikane muafaka, baada ya hapo kila mtu ndani ya kambi hiyo anatakiwa kutoonyesha upinzani wowote juu ya muafaka huo hadharani. Kwa mtu yeyote ambaye amekuwa akifuatilia mwenedo wa Zitto atakubaliana na mimi kwamba mara nyingi Zitto upendelea kujitokeza hadharani na msimamo unaokinzama na wawenzake, Kisaikolojia janbo hilo siyo la ajabu , kwani inaeleweka kwamba miongoni mwa watu **** wale wanaoitwa "achievers", hao kwa kawaida siyo "team player" kwani kila nara wao wanachokipa umuimu siyo mafanikio ya timu yote bali mafanikio ya wao wenyewe binafsi. Hata hivyo katika suala hili la Zitto tatizo siyo tu la kuwa "achiever", inaonekana tatizo ni kubwa zaidi ya hapo; yeye anaonekana misimamo yake mingi inachukuliwa kwa lengo la kukidhi maslahi ya baadha ya makundi kwenye chama tawala, hata kwenye ili sakata la Tanesco ni dhahili Zitto amekuwa akijitahidi kusimamia maslahi ya akins Rostamali
   
 2. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hata mie nina mashaka na huyu Zitto kwasababu nilipokuwa nasikiliza mchango wa Vicky Kamata ambae amelaani sana jinsi mgao feki unavyotengenezwa na baadhi ya watu kwenye management ya Tanesco wakishirikiana na baadhi ya wabunge zimesikika sauti za chini za Wabunge zikimtaja Zitto kwamba ni miongoni mwao kwahiyo tunataka kuujua ukweli kuhusu ushiriki wa Zitto katika hili.
   
 3. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,665
  Likes Received: 2,142
  Trophy Points: 280
  ni kweli Zitto Kabwe ni kijana machachari hapa Tanzania, lakini hii haina maana ya kwamba vijana wengine wa Kitanzania ni mazuzu. kwa kuwa wa TZ kwa ujumla wao wamekuwa makini na nchi tao ndio maan tunaona viongozi wa serikali wanavyohanyahanya na kujichanganya katika mbinu chafuchafu. sasa Zitto amelewa sifa na anataka kutufanya sisi vijana wengine ni mazuzu hapa amechemsha. mbinu yake ya kutumia gazzette la mwananchi inamtesa sasa. na kwa hili la TANESCO linamwondoa kwenye reli kabisa. CHADEMA sio dhaifu wala hawezi kuivuruga kirahisi kwa namna anazotumia! na kama anaona CHADEMA ni ya kikanda basi aondoke.... mimi ni mwenyeji wa MBEYA na sio mchagga lakini kwa sasa nina matumaini na CHADEMA na mbunge wangu SUGU, lakini wewe Zitto na mwenzio KAFULILA *mna penda kuonekana mna mawazo tofauti na misimamo ya vyama vyenu sasa *nio bora muondoke, kwanza mnatutota kwenye reli ya kujadili mambo mengine ya msingi yani sijui mnatumwa au vp, so disgusting.
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Zitto ni zaidi ya tumjuavyo, yupo kimalshi zaidi.... ni yeye yule aliyegeuka wenzie wote na kuanza kupigia chapuo serekali inunue mitambo ya dowans (symbion)...mda mfupi akaanza kuendesha Hammer...sinema inaendelea hivi karibuni makapi na mchele vitajitenga vyenyewe...Nilikuwa namkubali sana kama kiongozi wangu toka DARUSO lakini sas ...NIMESTUKA....
   
 5. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka kuwa mpinzani c kupnga kila kitu, ila naomba nijue mcmamo wa wabunge wa Chadema ksha tuendelee na mada
   
 6. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #6
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well said bro, Zito ni mnafk
   
 7. M

  Mr.Kombo Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Toa topic yako ya ukanda hapa mm nilijua tu ipo siku wachaga watamind wakihis wananyang'anywa chama kigoma juu.
   
 8. M

  Mr.Kombo Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Haa! na ww unautaka nn urais. ukanda ukabila udini unakitafuna chama wapen fursa wengine sio wachaga mwanzo mwisho aaah!
   
 9. Tembele

  Tembele JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 1,147
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bado tunamwamini zitto! Hizi ni propaganda za Wana CCM Waliopandikizwa kumuharibia.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 10. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huwa ninamdharau sana mtu anaezungumza udini na ukabila au ukanda.huwa namuona kama kichaa.
   
 11. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitto kijana hatari sn kwa cdm na taifa kwani ni mnafiki sn na huwa anawaona watz watu wa kukubali porojo zake
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Zitto ni kirusi ndani ya CHADEMA. Inabidi kiondolewe haraka sana
   
 13. M

  Mr.Kombo Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mfukuzen zitto kama chama hakijagawanyika vipandevipande mwambien slaa amfukuze aspate mpinzan 2015 ana wa2 wake zitto.
   
 14. M

  Mr.Kombo Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hee! wamemshindwa shibuda watamuweza zitto mfukuzen muone kama hamtabaki 12 nyie na familia zenu tu! ukweli ndo huo.
   
 15. t

  t blj JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Ni kweli kuwa zitto ni mbunge machachari ila anayoyafanya sasa yanatokana na kulewa sifa au kununuliwa na ccm huku akidhani kuwa kkila atakalo lifanya litakuwa ni sahihi.
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Leo si ndiyo aazumngumza na vyombo vya habari basi mbivu na mbichi itajulikana.
   
 17. d

  dizo Member

  #17
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikuzote jitu jinga lipe kamba ya kutosha litajinyonga lenyewe
   
 18. z

  zindouna JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mhhn Majungu si mtaji!!!! Mwacheni kijana wetu tunamkubali.... Kwani chadema ni mali ya Slaa au mbowe !!? aah mnanikera!
   
 19. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mimi naungana na wote wanaosema CDM wamtoe Zitto Kab we yaani katika viojana wa CDM ambao nimekuwa simpendi ni ZITTO yaani ni mnafiki na mshindani siku zote amekuwa hana heshima na viongozi wake hasa Dr. Slaa
  Wewe utatangazaje kugombea URAISI na Bos wako anajulikana alileta challenge kubwa kiasi hicho kwenye uchaguzui uliopita?
  Hana HESHIMA NA ADABU
  SASA UNAONA YANAYOMTOKEA SASA NI LAANA ZA UGOMVI WA CHINI CHINI KATI YAKE NA BOSS WAKE DR. SLAA
  Mtoeni huyu kwenye chama
   
Loading...