Hifadhi zetu na mipango ya kiuchumi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hifadhi zetu na mipango ya kiuchumi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by broken ages, Jul 31, 2012.

 1. broken ages

  broken ages Senior Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 160
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Leo nimemwona mkurugenzi wa tanapa akielezezea ama kutuhimiza watanzania juu ya faida tuzipatazo kutokana na vifutio vya utalii tulivyo navyo paamoja na kuelezea malengo mpango wa TANAPA kukuza kutangaza na kuboresha vyanzo vipya hasa kanda ya kusini.lakini pia anaelezea ya kuwa sekta ya utalii kwa sasa inachangia ktk pato la taifa kwa jumla ya 16% na anasema ya kuwa zaidi ya 90% ya watalii wanaoingia nchini wanatembelea vifutio vinavyopatikana kaskazini mwa nchi yetu zikiwepo Kilimanjaro,serengeti,ngorongoro, manyara,tarangire na arusha,kinachonishangaza ni hili la kuwekeza nguvu ya kiuchumi na rasimali ktk sehemu hizi mpya na japo ktk hizi maeneo ambazo ni kivutio tosha kabisa ni za zamani hatujaweza kuwekeza vya kutosha ikiwa ni pa1 na kuzitangaza ili tuweze kupata wageni watalii wengi zaidi ya hao wanaopatikana kwa sasa na ili wanapotoka huko nje waje wakifahamu ya kuwa Kilimanjaro IPO Tanzania na hata serengeti na wala siyo kenya kama wanvyodanganywa na mawakala wa usafiri tangu wakiwa huko nje halafu tukishahakikisha ya kuwa tayari tunawapata wageni wa kutosha kabisa ndipo tugawe ama kuhaamisha hiyo nguvu ya kuendeleza sehemu hizo nyingine kwani huko kaskazini wakipatikna waageni wengi zaidi pia ni kwa faaida ya Tanzania kwa ujumla na wala si kwa faida ya wakaskazini.tuachane na ukaskazini na ukusini wanachofuata watalii si Tanzania ya mikorosho ama na pamba au kahawa wanachofuata ni kuburudisha nafsi zao kwa kujionea vitu na maajabu ambayo mwenyenzi mungu aliumbia sehemu husika na ambayo sehemu wanakotoka hawatapata kuyaona mambo hayo
   
Loading...