Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikopo kuanzia 50000 mpaka 1000000 matapeli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chuck j, Aug 1, 2012.

 1. C

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa walijitangaza hapa sana week kama tatu ,,,ni matapeli sana,,niliwapigia kwenye no zao walizotoa hapa,,kila ukipiga haipatikani.Ikipatikana au akipokea anakusikiliza ,,akishajua shida yako anakwambia atakupigia baadae yuko nje ya ofice kikazi baadae........ukipiga baadae hapokei akipokea anasema atapiga,,,,hapigi,,,,,,,nimatapeli haoooooooooo
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,736
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  kweli kabisa

  mimi jamaa aliniambia yupo mbeya na mwenzake yupo Tanga ... alikuwa anaongea kwa wasi wasi sana ... alikuwa pia anaongea bila kujiamini na anachokifanya

  lazima hawa ni matapeli
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 27,991
  Likes Received: 6,857
  Trophy Points: 280
  Asasi yao inaitwaje tuifuytyilie mbali kabisa ya uso wa dunia?
   
Loading...