Maajabu ya ukarabati shimo maeneo ya voil mwanza

mwanamapinduko

Senior Member
Jan 24, 2011
178
41
Wakuu leo tarehe 30-7-2012 tunamaliza mwezi wa pili ukaranati wa shimo hilo haujakamilika. Ukarabati huo ni kero kwani unasababisha foleni kubwa isiyo ya lazima!
 
Hili shimo limesumbua sana!Du,hapo ilikuwa dili kila mvua ikinyesha.Sasahivi wamechimba nakusababisha jam ya ajabu na kupelekea watu kuchelewa katika shughuli zao hususan wale wanachuo wa SAUT.
 
Mimi nimepita hapo nikiwa nina drive kuna foleni ya kihuni tu, hivi meneja wa TANROADS Mwanza anafanya nini? Inakera sana ukimuuliza atakwambia mi msomi nina Masters! Bofloooooooooooo!
 
Back
Top Bottom