Wananchi tuanzishe na sisi mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi tuanzishe na sisi mgomo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mosachaoghoko, Jul 31, 2012.

 1. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwakuwa sasa imekuwa ni system napendekeza na wananchi kuwa na mgomo usiokuwa na kikomo mpaka pale huduma muhimu za kibinadamu zitakapoboreshwa na kuturithisha ambazo ni sekta ya afya kila sehemu na kuwepo na vifaa tiba,huduma za uhakika za kupata nishati ya umeme kwa ajili ya matumizi yetu ,kupungua kwa mfumuko mkubwa wa bei ya kila kitu ambapo hata mwananchi wa kawaida ataweza kuyamudu mahitaji yake ya muhimu,tuboreshewe miundo mbinu yetu ya barabara na reli ambayo ndo tegemeo la kila mtu kwa nafasi yake na mengine mengi
   
Loading...