mgomo bulyanhulu gold mine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgomo bulyanhulu gold mine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rishedy, Jul 31, 2012.

 1. R

  Rishedy New Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tarehe 31/7/2012,wafanya kazi wa mgod wa dhahabu wa bulyanhulu walisita kuingia shimoni kwa hili mi nawapongeza,na pia wale walimu walio goma kuingia kazin pia nawapongeza kwani vilio vya wahanga hawa vilitaka kufanana.nawala havina wakuskiliza kadhia hiii.wafanya kazi wa bulyanhulu wanalilia mafao kwani wanaijua hatma yao yakuishi hapa duniani.wiki iliopita nililizugumzia hili la mafao.naleo nageukia upande wa pili kwa kuuliza swali ;hivi ni kweli wapo wafanyakazi katka nchi hii wanofanya kazi mwaka mzima bila likizo?je kama wanalipwa gharama za nauli wanakatwa kodi kwenye hio nauli yao? nisaidieni maanayake hawa wabuly hawana likizo nawanapo lipwa nauli kodi nayo hupitia humo humo ,sasa na waambia serikali waliangaie hili.isjekutokea ikawa muekezaji halipi kodi bali wafanya kazi ndio wanaolipa kodi,
  :A S cry::flypig::alien:
   
Loading...