Kuajiriwa ni Laana Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuajiriwa ni Laana Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safari_ni_Safari, Jul 31, 2012.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Binafsi sielewi kwa nini ajira ni chungu kwa sasa:


  1. Kodi anazolipa mwajiriwa ni kubwa kubwa mno kuliko watu wengine
  2. Pensheni ni ya kulazimishana
  3. Mishahara midogo
  4. Kugoma sio haki tena
  5. Foleni nayo inatukumba siye zaidi
  6. ......
  7. .....
  8. Nk
  9. Etc
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Umegundua eeeh....yaani hapa napanga kuhama mji nijue moja. Ni kwetu Ntwara mambo yotee. Ajira zimekuwa pasua kichwa
   
 3. fakenology

  fakenology JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 766
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  naona una hamu ya kutekwa weye
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Kuajiriwa B0T ni baraka
   
 5. M

  Miranda Michael Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kilichobaki ni kujiajiri tu,maana loo.
   
 6. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,650
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 280
  Waajiriwa tuna wajibu wa kuungana kupambana na unyonyaji wa aina zote kuanzia waajiri waovu, mipango mibovu ya serikali ya kuanzisha wakala za kinyonyaji, kodi nyingi zisizokuwa na mpangilio n.k.
  Jambo la muhimu hapa ni kumtambuaua adui na kumshughulikia badala ya kulalamika.
  Ukombozi wa waajiriwa utatokana na juhudi zao wenyewe na kamwe hakuna wa kuwatetea.
  Maisha ni mapambano!
   
Loading...