Mabenk ya Geita kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabenk ya Geita kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DULLAH B., Aug 1, 2012.

 1. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mm nimeajiriwa mkoa mpya Geita pale DED kama Mwalimu. Nikataka kufungua akaunt ya mshahara NMB wakadai wanawateja wengi nibahatishe kungine ndipo nika submitt akaunt yangu ya CRDB. Tatizo linakuja kwamba wafanyakazi wa DED salary yao inayopitia NMB inawahi lkn waliopo nje ya NMB I mean CRDB au NBC wanachelewa kupata salary. Ukiuliza CRDB kwa nn salary inachelewa toka DED wao wanajibu simpo tatizo lipo NMB. Na ukienda NMB wanakwambia kwani 2likulazimisha u2mie akaunt ya CRDB? Tatizo sasa lipo hata wa migodini wa GGM nao wanaface tatizo kama la wa2 wa DED. Kama kuna member anafanyia bank atoe mwongozo kwan hadi leo cjagusa salary nadaiwa kodi ya nyumba, umeme, maji na madukani hawanielewi. Naomba 2jadili wandugu kwan wanazidisha niendelee na mgomo!
   
Loading...