Kipanya na Tatizo la Mafao

wikolo

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
800
270
image001.jpg
 
Ndivyo inavyotakiwa, sasa kama sina miaka 55 na mimi pia sina kazi, shida zinaniandama na madeni ya watoto ada za shule;

Kwanini nisifoji nitimize miaka 55??? ukiniangalia nina mvi utadhani nina miaka 65 kumbe ni shida tu za maisha na kuku wa mabandani tunaokula.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Watunga sheria wetu wanachukua mshahara wa sh. 10,000,000 na posho nyingine kibao wakikopeshwa magari na kulipiwa mafuta. Kila baada ya miaka mitano wanapata kiinua mgongo cha 45,000,000. Sisi wanataka tukadai mafao baada ya kufa au kufikia umri wa kufa!
 
Back
Top Bottom