Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kizungumkuti cha migomo kinashika hatamu kwa taarifa za chini chini madaktari kukianzisha na wafanyakazi wa nssf kukianzisha ijumaaa
2 Reactions
82 Replies
8K Views
Habari wanaJF,niandike hoja hii kwa majonzi yakukumbuka hujuma za mafisadi juu ya TTCL,walianzisha kakampuni kao wakakaita CELTEL(natumai mnakumbuka).kwa kutumia rasilimali za TTCL wakajitanua na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kutokana na mtoano na patashika zinazoendelea mjengoni ingekua vipi kama mzee sita angeendelea kuwa spika?
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi teule tatu zilizobahatika kupata msaada wa kilimo katika mpango African food security. Sasa njaa itakwisha na mipango ikienda vizuri tutakuwa na uwezo wa kuzalisha...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa hotuba ya jana wapendwa nahisi ni ngumu kwa serikali hii yenu iliomadarakani kuacha kuendelea kuiba kwa njia ya rushwa...nasema hivi kwa masikitiko kuona kauli ya mh rais akitamka hadharani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wabunge wamechoka kukaa Dodoma katika kipindi hiki cha mkutano wa bajeti. hawataki yu kusema kuwa wamechoka mazingira ya mji huo na hata shughuli za bunge kwa kuwa bado wanazitamani posho nono...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimemuona mtu kama mbunge wa simanjiro Bw Sendeka akitoka uwanja wa ndege arusha akiwa ktk gari la chama cha mapinduzi mkoa AINA YA GX LA KIJANI AMBALO HUWA LINATUMIWA NA KATIBU WA MKOA ambapo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Munde Middle Name: Abdallah Last Name: Tambwe Member Type: Special Seat Constituent: No...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
...jana nilikomaa kuitaka serikali ilete mbeya mjini ambulances tatu,moja kwa ajili ya hospitali ya rufaa,ya pili kwa ajili ya hospitali ya wazazi meta na nyingine ya standby iwapo mgonjwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani david kafulila ni kichwa anachambua mambo kisomi.wanazungumzia bajeti ya wizara ya uchukuzi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu watanzania tumekuwa na tabia ya kusifu uovu unapofanyika.... sasa imekwenda hadi makazini. mtu akiajiriwa serikalini kwenye nafasi yoyote yenye mianya ya kuiba au kufisadi bila...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Leo ,dogo hapa home kaniacha mdomo wazi, nafika anasema PIPOZ PAWA, ana umri wa mwaka 1 na nusu tu anasoma vidudu/day care, nahisi mwalimu wao anawafundisha itikadi za chadema. hii imenikumbusha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mwezi huu wa nane hautaisha utasikia kufukuzwa kazi kwa mtu au watu, hivyo basi nawa asa ndugu zngu kuchapa kazi kwa bidii na kuonyesha uaminifu na uadilifu, habar hizi utazipa ktk radio tv...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Gari ya abiria Summry ambayo ilikuwa inatoka Kigoma kwenda Dar leo imepata ajali mbaya maeneo ya Kifura karibu na makao makuu ya Wilaya ya Kibondo, bus hilo limegongana uso kwa uso na gari aina ya...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
By Florian Kaijage | 28th July 2012 When politicians, notably Members of Parliament, wanted electricity at any cost – and threatened to block the budget estimates of the...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Akitaja maeneo yaliyotengwa na serikali kwa ajili ya kutolewa leseni za kuchimba mchanga, Magayane alibainisha kuwa ni pamoja na Vianzi, Kisemvule, Mwandilatu na Homboza katika wilaya ya Mkuranga...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
HABARI kuhusu uteuzi wa dkt. Wilbard Lorry aliyeteuliwa kuwa mshauri wa Rais masuala ya lishe kama ilivyo tolewa kupitia mtandao wa jamii forum tarehe 19/7/2012 ni PROPAGANDA zinazofanywa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AGENDA 1. AJALI YA MELI 2. GESI ASILIA Mgomo wa walimu ataongelea kidogo kwani mahakama kesho itafanya maamuzi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Kwa kuwa serikali kupitia waziri wa fedha imeruhusu mtu kusajiri namba ya gari anayoipenda na atalipia shilingi milioni 5 kwa miaka mitatu, napendekeza gari la mwenyekiti wa CHADEMA...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wana jamii forum nimekuwa nijiuliza maswali yafuatayo na mstakabali mzima wa maendeleo yetu ya nchi. Ukweli ni kwamba kama mashirika ya umma yana ufisadi mkubwa kiasi hiki uchumi wa nchi...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…