Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ITV wanaonyesha tatizo la kukosa vyoo barabarani na wananchi kujisaidia porini. Inasikitisha ITV wanaonyesha pia wanawake wakiwa wamevua nguo wakijisaidia! Kma nia ni kurekebisha tatizo sidhani...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Siungi mkono Tanzania kushiriki katika michezo ya kimataifa hata kidogo.Maana kila tukishiriki tunatolewa katika hatua za mwanzo na kila siku tunaambiwa mandalizi mabovu,mimpira wamiguu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mwana JF hapa ambaye alikusanya maoni mengi toka kwetu kwa nia ya kuanzisha kipindi katika TV. Na moja ya malengo yake ni mambo yanayohusu jamii na kuahidi kuanza na suala la mgomo wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kile kinacho onekena kukubarika kwa jf, hatimae media mbalimbali za ndani na nje ya nchi zimekuwa zikitegemea na kutumia habari za mtandao namba moja wa kijamii tanzania jamii forums. Leo katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingine kuna hatari kubwa kwa migogoro inayotokea katika nchi zetu hizi kuvishwa sura zenye malengo binafsi ya watu au kundi la watu hasa malengo ya kisiasa na umaarufu au kufuta kashfa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia olympic hasa riadha lakini sijawaona hawa ndugu zetu. Hivi walikuwa washiriki wa mita ngapi? Wameshiriki? Nataka kujua maana dah! Riadha ya mwaka huu si wakenya wala...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
50 things you are not supposed to know I stumbled upon a very strange book called 50 things you are not supposed...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanini serikali imejitutumua haraka katika sakata la ziwa nyasa dhidi ya wa Malawi wakati huohuo ikilinyamazia swala la uvamizi wa kigamboni wanaotaka kuwahamisha wazawa pasipo kufata sheria za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
zanzibar freedom is comming tomorrow!!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kiongozi sipendi kuwa mnafiki. Matatizo yangu sio matatizo ya watanzania wengi. Na matatizo ya watanzania wengi sio matatizo yangu. Sipandi daladala. Silali njaa. Watoto wangu hawaathiriki na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivikaribuni Rais wa jumuhuri ya muungano wa Tanzania alilihutubia taifa kwa staili yake kwa kupitia waandishi wa habari. Tunampongeza sana rais wetu kwa utaratibuwake huo aliojiwekea.pamoja na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote ndio wimbo ambao kila mhitimu wa shule anaujua. Ukikaa na wazee ukasikiliza yale yaliotokea wakati wa vita ya amin 1978/79 watakuambia. Nenda Lugalo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanabodi, Mwanaume mmoja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) aliyejipachika jina Fela Anikulapo Kuti, kaingia Kanisani akiwa na wanawake watatu na kufunga nao ndoa ya pamoja. Ndoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzani tuwe makini sana na watu wanaosaka uraisi kwa udi na uvumba.Watu wanaotumia makanisa na misikiti kuusaka uraisi kwa kutoa misaada ni watu hatari sana. Watu wote wanaotangaza nia ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekua nikufuatiaria kwa mda sasa chimbuko la migogoro ya wananchi hasa wafanyakazi mfano waalimu na madactari na serikali yao.... Muasisi wa taifa hili alikua na wazo la kuindesha nchi hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa masikitiko makubwa nawataarifu ajali ya basi la sabina, ilotokea tabora kwenda mbeya baada ya basi kupinduka.Tbc wameizungumzia pia kwny jambo alfajiri hii. Tatizo wameeleza kifupi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba wana jf tujadili ni kweli sikukuu ya wakulima inakumbukwa na serikali au wakulima wenyewe.Kama inakumbukwa na serikali ni kwa kiwango kipi imeboresha mazingira ya wakulima, ambao kila siku...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Kwa mdau yeyote wa Arusha mwenye taarifa kamili em anijuze tafadhali ..., maana nimebaki kujiuliza, ni ile vita na Malawi ndo ishaanza, ama ni Al-Shaabab washaanza yale mambo ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa msikilizaji mzuri sana wa Arusha mambo (online), lakini sasa naona siipati, tafadhali wahusika mtusaidie kwa hilo ili tuendelee kupata habari.Ahsante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom