YUKO wapi PASKAL MAYALLA!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

YUKO wapi PASKAL MAYALLA!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mizambwa, Jun 27, 2012.

 1. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kuna mwana JF hapa ambaye alikusanya maoni mengi toka kwetu kwa nia ya kuanzisha kipindi katika TV. Na moja ya malengo yake ni mambo yanayohusu jamii na kuahidi kuanza na suala la mgomo wa madakitari.

  Imepita miezi sasa kumekuwa kimya, sielewi labda ni mimi tu ambaye sina taarifa kuhusu mwendelezo wa jitihada za Paskal Mayalla.

  Wiki hii tena tumeingia katika mgomo wa Madr, ina maana jitihada za Paskal Mayalla kuelimisha katika mpango wake hazijasaidia.

  Naomba mwenye taarifa PLZ.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 2. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Yuko bize na maandalizi ya sabasaba si unajua ile kampuni yake ya PR ndio inayopata tenda za kupromote biashara during sabasaba.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Pasco wa JF ni tofauti na Pasco Mayalla "hii ni nukuu yake mwenyewe"
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280

  Huyu hapa ninaye mzungumzia:-
  ======================================================================================================

  https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/227159-vipindi-maalum-vya-jf-kwenye-tv-naomba-maoni-yako.html?highlight=MAYALLA


  Topic: Vipindi Maalum vya JF kwenye TV: Naomba Maoni Yako!First

  Likes Given:417 Vipindi Maalum vya TV Vitakavyotumia Maoni ya JF: Naomba Maoni Yako!

  Wanabodi,

  Salaam.

  Hapa jf tuko wanachama wengi wenye shughuli mbalimbali. Kikubwa tunachokifanya ni kujadili tuu issues na kuishia kutoa maoni ambayo japo mengi huishia kutekelezwa mengi ya maoni mazuri ya humu huishia humu humu bila kufanyiwa chochote kwa vile mwisho wa uwezo wetu ni kujadili.

  Mimi mwanachama mwenzenu wa jf, mbali ya shughuli zangu za kawaida kuniendeshea maisha yangu full time, mimi pia ni part time freelance producer wa vipindi vya Redio na Televisheni.

  Nimejikuta ninaguswa sana na baadhi ya hoja zinazojadiliwa humu hivyo nimeona niutumie muda wangu wa ziada kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea kuandaa vipindi vya Redio na TV vya Elimu kwa Umma kuhusu mada mbalimbali.

  Kufuatia maoni mengi ya maana yanayotolewa na wanabodi kuhusu hoja mbalimbali nimeamua kujitolea to walk an extra mile kwa kuyatumia baadhi ya maoni/hoja katika vipindi maalum, series za talk shows kuhusu haya tunayojadili humu.

  Kwa ruhusa ya invisible, na ruhusa yenu, nitaomba kutumia quote za baadhi ya members wa jf na nitatumia majina yenu haya haya ya jf, mara moja moja nitatoa number ya kupokea sauti kuhusu very specific issues na mara moja moja nitawaalika baadhi ya wana jf ambao hawatamaind expose ili kuchambua baadhi ya issues kwa maslahi ya taifa.

  Ownership ya program itakuwa ni PPR kwa sababu ndio atafoot production costs na mwendeshaji wa kipindi nitakuwa ni mimi. Kwa kuanzia nitaanza na kipindi kimoja kwa mwezi, kikigain momentum kina kuwa by weekly, then weekly.

  Main benefisharies wa program hizi ni Watanzania kwa ujumla ambao watakuwa more informed hivyo utakapo fikia muda wa kufanya maamuzi fulani, watafanya more informed decisions. Jf nayo itabenefit kwa ku feature more predominantly na baadhi ya mawazo ya hawa ma great thinkees wetu humu jf kama kina Mzee Mwanakijiji, Waberoya, Nguruvi 3 etc yatawafikia watu wengi zaidi.

  Kwa kuanzia nitawaomba wanabodi, kunikubalia kuiepuka siasa na kufuatia kukijua ni nini kilikikuta kile kipindi cha "Kiti Moto". Hivyo nitachagua mada kwa uangalifu sana, nitapenda kujikita kwenye mada za kijamii na za kimaendeleo na sio za kisiasa.

  Kwa kuanzia
  Prog1. Itahusu mgomo wa madaktari uliomalizika hivi karibuni.

  Nimeatach draft script naomba wenye nafasi muipitie na kunipa mawazo yenu.

  Nimepanga kuanza recording next week hivyo program itakwenda hewani in the next few weeks.

  Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.

  Asante.

  Pascal Mayalla.
  Attached Files
  Scipt ya TV Prog ya Yatokanayo na Mgomo wa Madaktari-1st Draft..pdf (64.3 KB, 0 views)

  Last edited by Pascal Mayalla; 27th February 2012 at 18:55. You, Mzee Mwanakijiji, Richard and 24 others like this.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Pascal mayalla kaumuuliza mtoto wa ditopile faraji,inakuaje anauza mafuta ya ubuyu wakati watoto wa wakubwa wanasaidiwa? Naona hata kbla ya mtoto wa ditto kujibu tbc wakakata wakaweka bango!
   
Loading...