Arusha: ni nini tena na milipuko ya kutisha asubuhi asubuhi??!

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
Kwa mdau yeyote wa Arusha mwenye taarifa kamili em anijuze tafadhali ..., maana nimebaki kujiuliza, ni ile vita na Malawi ndo ishaanza, ama ni Al-Shaabab washaanza yale mambo ...
 
Back
Top Bottom