hatimae jamiiforums yaingia ndani ya east africa tv ting'a no 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hatimae jamiiforums yaingia ndani ya east africa tv ting'a no 1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Aug 8, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  Kile kinacho onekena kukubarika kwa jf, hatimae media mbalimbali za ndani na nje ya nchi zimekuwa zikitegemea na kutumia habari za mtandao namba moja wa kijamii tanzania jamii forums.

  Leo katika kipindi cha hot mix kinachorushwa hewani na eatv wameweza kuzungumzia na kuonyesha ile habari iliyopo jamii photo ya mwanamke na mwanamme wakiwa wanacheza muziki muda wote bila kupumzika wala kubadilisha style.

  Hii nmeipenda sana. Hongera sana mwanadada faizaaa. Mia
   
Loading...