Nchi ya kibepali na maisha ya ujamaa migomo haitaisha.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi ya kibepali na maisha ya ujamaa migomo haitaisha..........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by raymg, Aug 8, 2012.

 1. r

  raymg JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimekua nikufuatiaria kwa mda sasa chimbuko la migogoro ya wananchi hasa wafanyakazi mfano waalimu na madactari na serikali yao....
  Muasisi wa taifa hili alikua na wazo la kuindesha nchi hii katika mfumo wa ujamaa na arijabu but akashindwa pengine kutokana na viongozi waliomrithi au pengine ilikua mapema mno kwa nchi kama yetu kuingia katika mfumo huo wakati ule....Mpaka saiz baadh ya watu hasa wenye umri mkubwa bado wanaaimin kua nchi hii ni ya kjamaa....na hili ndilo linatumiwa na viongozi wetu kuipotosha jamii kua nchi haina pesa kuwen wazalendo mliokoe taifa lenu....wakati wenyewe ( Viongoz na wafanyabiashara,) wakiendelea kujilimbikizia mali na kuwaacha wananchi wakidhidi kuwa masikin wakutupwa....ambao n mfumo harisi wa kibepari! leo hii mfanyakaz anaogezewa Ths. 4000, 7000, 19000, 26000, pesa ambayo haiwez kumsadia katika shida alizonazo huyu Mwananchi, Tizama wakulima wanavyoteseka na miradi kibao ya serikali ambayo lengo lake ni kuwanufaisha wafanyabiashara......................................DHAIFU
   
Loading...