Ni kweli kila jambo watu wanamsingizia mungu
lakini vifo vingine kuna mapepo anawatumia hawa ma dk wetu na wauguzi na
hivyo mwishowe kutufanya wote tuamini mapenzi ya mungu .....huzuni kbwa ni...
Ndiyo maana kila wakati Rais kikwete anapojaribu kukana tuhuma za ikulu kuhusika anashindwa kujenga hoja,matokeo yake anaishia kutuuliza wananchi ;kwa nini tunadhani serikali imtese Dr ulimboka...
Hembu tusaidiane katika hili kwa sasa nina umri wa miaka 32 namalizia masomo yangu mwaka huu nahitaji kwenda kugombea ubunge je nifanye nin kwanza sina pesa za kutumia kwenye mchakato pil sheria...
Kuna tatizo limejitokeza katika shirika moja la serikali,ni ufisadi uliokubuhu,napenda kutumia jukwaa hili kuomba msaada kwa yule mwenye mawasiliano ya vyombo huru vya habari namba za simu,email...
nimeshangazwa sana wana jamvi kwa hali niliyoiona ya watu waliooomba sensa wenye degree asilimmia kubwa humu nchini kukosa nafasi na waliopata nafasi ni walio na cheti na stashahada jamani kweli...
Jamani hapa ofisini kwetu, yaani kwenye institution yetu CEO amejaza watu wa kabila lake, jamaa zake, watoto wa marafiki zake, wapenzi wake, na wanawe bila kuangalia sana uwezo wao, na ni...
Serikali yetu ni sikivu sana na ninayoimani kuwa baada ya kughafilika katika kucheza filamu Part I ambayo sterling Mkenya ndiye aliyemshambulia Dr Ulimboka ni muda muafaka tena kwa kamanda...
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema ugumu wa maisha unaowakabili Watanzania sasa, ulipaswa kwanza kujionyesha kwa viongozi wa Serikali...
Ndugu zangu,
UALIMU si tu kazi ya wito, ni kazi ya utu . Katika nchi yeyote ile yenye dhamira ya kweli ya kusonga mbele, mwalimu ni mtu muhimu sana.
Ni busara kwa Serikali yeyote iwayo, kufanya...
By JOINT REPORT The EastAfrican
Posted Saturday, August 4 2012 at 19:35
Rwanda may be forced to delay some projects that were to have been implemented this year following the recent decision...
Wadau,
Leo majira ya saa 9 Alasiri, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete leo atakuwa na mkutano na waandishi wa habari Ikulu- Magogoni !
Tusubiri tuone atakuja na lipi ...
mkurugenzi wa NIDA Amewaeleza waandishi wa habari kuwa kitambulisho kitapatikana labda baada ya miaka miwili ijayo kwa kuwa hatua zinazofanyika sasa ni za awali kwani hatua za kupata kitambulisho...
Wana JF naombeni kufahamishwa wamiliki wa hii kampuni. Nasikia walishinda kesi dhidi ya TRA baada ya maamuzi ya mahakama kuhusiana na madai ya udanganyifu kwenye VAT. Baada ya court ruling TRA...
Jamani kwa mlio karibu na airport embu tusaidien hili
kuna habari ndege ya atcl imeshindwa kuruka kwenda moroni
na abiria wamekaa juu wanalalamika .....
Habari zaidi zinasema srce:baada ya...
Wana Jamvi,
Juzi tarehe 31 July 2012 niliamua niwe mmojawapo wa raia wema kwa kuitikia mwito wa kwenda kujiandikisha. Kwa yanayotangazwa redioni na kwenye magazeti, tunapashwa kwenda...
Walimu wa shule za msingi wameonekana ni waoga sana katika kutetea haki zao,lakini makucha yao yameonekana kwa 30% ya wanafunzi waliojiunga sekondari hawawezi kusoma na kuandika.Serikali iwe...
Nassor Ahmmed Mazurui
Wananchi wametakiwa kuachana na sera za vyama vyao vya siasa juu ya mfumo wa muungano wakati wa kutoa maoni yao ya undwaji wa katiba mpya ya jamhuri ya muungano Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.