Mgogoro wa ziwa Nyasa hauna tofauti na ule wa kigamboni

Andanenga

New Member
Aug 3, 2012
2
0
Kwanini serikali imejitutumua haraka katika sakata la ziwa nyasa dhidi ya wa Malawi wakati huohuo ikilinyamazia swala la uvamizi wa kigamboni wanaotaka kuwahamisha wazawa pasipo kufata sheria za nchi kwa kisingizio cha kuanzisha mji mpya?
 
Wamezidi kujazana kigamboni acha waondoke wawapishe wenye hela wakae karibu na bahari.
 
Hii ishu ya Malawi ni ngumu sana, tena sana. Ni suala linalogusa jamii ya kimataifa moja kwa moja. Bora kujiibia au kushiriki kula mali yako ya wizi kuliko mali yako kuliwa na mtu kimabavu. KUMBUKA SERIKALI ILIAPA HADHARANI KUILINDA KATIBA NA MIPAKA YA NCHI
 
Back
Top Bottom