madhara ya vita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madhara ya vita

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Aug 8, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote ndio wimbo ambao kila mhitimu wa shule anaujua. Ukikaa na wazee ukasikiliza yale yaliotokea wakati wa vita ya amin 1978/79 watakuambia.
  Nenda Lugalo kaongee na wanajeshi waliopigana vita ile watakuambia waliokutana nayo,chukua muda wako waulize exsoldierz utajua.
  Tuache siasa na kutafuta umaarufu,vita sio solution.kwan taifa hli linawanadiplomasia wangap mpaka nchi kama malaw ituangaishe? Tutaanza kuwa na mashaka na wanadiplomasia wetu.
  SIKO TAYARI KUONA TUNAINGIA VITAN
   
 2. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Acha uoga mtoto wa kiume haogopi vita .anapambana . Shauri yako ipo siku utataitiwa usiku na mateja na kwa uoga wako watakula hadi tigo
   
Loading...