Wale wakimbiaji wetu wameishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wakimbiaji wetu wameishia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyalotsi, Aug 8, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikifuatilia olympic hasa riadha lakini sijawaona hawa ndugu zetu. Hivi walikuwa washiriki wa mita ngapi? Wameshiriki? Nataka kujua maana dah! Riadha ya mwaka huu si wakenya wala ethiopia, mambo yamekuwa sio mambo.
   
 2. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wawakilishi wetu toka waliposhuka airport hapo Uingereza walianza kukimbia hadi sasa wanaendelea; nadhani wameishafika Italy!!!! Ndiyo maana hujawaona kwani hawakuwa katika Olympics....Walikwenda kukimbia kimbia tuu Ulaya....Viongozi wa Olyimpics Tanzania walienda KUTALII na kuona michezo ambayo nchi zilizokuwa serious walituma wawakilishi wao kushindana
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  mkuu suruma, ndo maana kuna mzee alitangaza kuchoma vyeti vyake wakirudi na medali? Wanaendeleza mambo ya kuchaguana kwenda kwenye michezo kama kwenye si hasa!
   
 4. r

  ral Senior Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Suruma, kweli umenitoa machozi kwa kucheka, ni sitashangaa nikisikia ndiyo ilivyokuwa
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wakimbiaji wamekimbia
   
 6. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Anaitwa wilhelma Gidabuday ni mwanariadha wazamani anyemtuhumu filbert Bayi kwa uongozi mbovu na wakifisadi TOC
   
 7. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Wamekimbia!
   
 8. m

  markj JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  ukingoni
   
 9. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,147
  Likes Received: 2,191
  Trophy Points: 280
  Swaumu kareeee!
   
Loading...