SAUTI HURU: Ulaya Kuiondoa CCM Madarakani 2015! Nani mmiliki wa hili gazeti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SAUTI HURU: Ulaya Kuiondoa CCM Madarakani 2015! Nani mmiliki wa hili gazeti?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mungi, Aug 8, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Ulaya wakiamua kuitoa serikali yoyote madarakani Afrika wanaweza!
   
 3. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Si bora wangeng'olewa hata manake ccm ni zaidi ya mkoloni.
   
 4. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  mbona wamechelewa sana!!?? walikuwa wapi hawa!!?? hili lilitakiwa kufanyika mapema zaidi, i think 10 or 15 yrs before.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ulaya, CCM wote wezi tu hakuna mwenye unafuu. Ukiona hivyo kuna interests zao zimeingiliwa na huu mtindo wa kukimbilia ulaya kwa ajili ya kuwang'oa watawala wetu hauingilii akilini kabisa. Bora tungepambana hapa hapa!!
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  chama kinachobeba interest za ulaya hakiwezi kuongolewa
  labda kama wamekwenda kinyume na matakwa yao watangolewa.
  kwa CCM kimeachia mianya yote ya rasilimali zetu kumilikiwa na wageni nchi walishauza siku nyingi
  sijaona sababu ya wao kukitoa labda wametuonea huruma.
   
 7. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Nilitegemea ningekuta mdau ameshakurupuka na kupayuka kwamba mmiliki ni Ridhiwani.
   
Loading...