Ndugu wadau
nimejiuza maswali mengi sana kwanini rais wa kenya aliamua kuweka mafuta kwenye ndege na kuziwasha usiku wa manane kuja tz kuwafata majerui na maiti,,najiuliza kwanini awafate...
Ni dhahiri sasa suala la kuvunja muungano linatishia uhai wa CCM . Ikumbukwe kwamba CCM iliundwa baada ya kuunganisha vyama vikuu viwili TANU na ASP mwaka 1977. Muungano huu wa vyama sio...
Moja kati ya vitu nilivyogundua katika Utafiti wangu ambao ulinichukua katika nchi mbalimbali za kiafrika zilizo chini ya jangwa la sahara (Project) ni kwamba katika nchi zote hizo nimegundua...
The Tanzanian deputy minister for Natural Resources and Tourism,
Lazaro Nyalandu has blamed sophisticated international criminal
syndicates for decimating the elephant population in the country...
Uzoefu unaonesha kwamba siku zote watu huona nafuu ya jambo lililopita kuliko walilonalo kwa wakati huo. Pamoja na mawaa na Kashfa za Rais mstaafu Ben Mkapa lakini bado miongoni mwa Watanzania...
Katika kuendelea kufakuri juu ya usanii wa jeshi la polisi dhidi ya utekaji wa Dr. Ulimboka mambo mazuri yanadhidi kujidhihirisha .Jeshi la polisi chini ya Kamanda Kova alitangazia umma kuwa...
Jamani wa tanzania jukumu la kufanya mabadiliko hayapo mikononi mwa mtu yoyote zaidi ya wewe mtanzania mwenyewe.
Hulka ya kusubiria politicians ndo watu ongelee, tutaendelea kulalamika mpaka dunia...
Wakuu,
Kuna habari zimezagaa kwenye magazeti yetu ya leo kuwa walimu wana mpango wa kutumia wingi wao na uzoefu kuiangusha CCM ifikapo 2015.Binafsi ninawiwa kutoa pongezi za dhati kwa yeyote...
Daah, sijui nianzie na gazeti gani la jumatatu. Maana kuna habari mbili kuu. Ya kufurahisha , na Ya Kuchekesha. Sipati picha magazeti ya wiki hii..! Itabidi mengine yaahirishe habari za michezo na...
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,
Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na...
Ndugu zangu, someni hapo kwenye RED!!!!
Na Luppy Kungalo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
DODOMA JUMATATU AGOSTI 13, 2012. Mwanafunzi wa Darasa la Saba shule ya msingi Hogolo, aliyefahamika...
Ili rais abaki kuwa statesman asiendekeze siasa za vyama inafaa tuige hili lililotokea misri, mara baada ya Morsi kuchaguliwa kuwa rais wa nchi alijiondoa kwenye uongozi wa chama. Read below...
Hofu ya mzozo wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi, jana ulisababisha kundi kubwa la raia wa nchi ya Malawi wanaoishi Tanzania kujazana kwenye ofisi ya ubalozi wao uliopo barabara ya Rose Garden...
Kama sikosei karibu mwaka sasa Tanzania katika mzunguko kuna noti za aina mbili tofauti. Noti hizo ni Tshs. 500, 1,000, 2,000, 5,000 na 10,000 mpya na za zamani zote zinaendele kutumika, na hadi...
Wanajamvi jana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwenye luninga ya ITV waliomba radhi kwa kuwa walionyesha habari ya yule mama aliyenyanganywa mtoto wa miezi 4 na ndugu za mwanaume aliyezaa...
Katika hali isiyo ya kawaida kiongozi mwandamizi wa chama cha kijani alionekana akikosoa madudu ya chama kikuu pinzani kuwa wanawadanganya wananchi kwa kuwachangisha pesa wakati sio kweli chama...
Milio mizito ya mizinga, ngurumo za vifaruv yatikisa
Msemaji wa jeshi : Ni mazoezi ya kawaida kabisa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
Mazoezi ya kijeshi...
Habarini wanajamvi.
Najua wengi wetu kutoka kasehemu haka ka dunia (tz) hatuna utamaduni wa kusoma na hasa haya maandishi dizaini hizi inachosha. Ila atakayejisikia vizuri anaweza kupitia ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.