Watatumaliza tusipokuwa makini (The portrait of a blood-thirsty monster) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watatumaliza tusipokuwa makini (The portrait of a blood-thirsty monster)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by omujubi, Aug 13, 2012.

 1. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habarini wanajamvi.

  Najua wengi wetu kutoka kasehemu haka ka dunia (tz) hatuna utamaduni wa kusoma na hasa haya maandishi dizaini hizi inachosha. Ila atakayejisikia vizuri anaweza kupitia ili kupata picha kuwa nchi yetu haitajwi popote publicly lakini nakuwa na wasiwasi na mambo yanayoendelea hapa kwetu kuwa haya mambo yanaweza kuwa yamekithiri. Na si ajabu hata Mbunge Kwigil Shaymal alitoa machozi bungeni jinsi kesi za hawa jamaa zinavyoisha kiaina na hata nyingine kutopelekwa polisi. Na kibaya zaidi inaonekana sio kuwa ni Albino peke yao bali hata watoto wengine wasio na hatia huenda wanahusika. Mtu mmoja amewahi kuniambia kuwa niangalie kipindi cha ITV; Jiji Letu juu ya matangazo ya waliopotea na mazingira ya kupotea kwao!

  Nahisi hawa wenzetu wameweza ku-expose haya mambo kutokana na culture yao katika literature ukianzia zile enzi za waandishi kama Songs of Lawino, The River Between, Things Fall Apart nk ambapo hapa kwetu hatukuwa na bahati ya waandishi wa kutupeleka ndani zaidi ya tamaduni zetu ukiondolea hawa tulio nao leo na 'hadithi' zao za Dubai na China zilizo 'Kibongo Movies' zaidi.

  Nawasilisha


  Source: http://www.nation.co.ke/Features/DN2/Inside+the+mind+of+a+ritual+murderer+/-/957860/1477582/-/item/0/-/j3bspd/-/index.html

   
Loading...