Baada ya Ndugu Godbless Lema kukosa msaada ya pesa toka kwa Meya Boris Johson wa London, aliamua kuomba misaada makanisani kwa ajili ya Chadema, Jpili ijayo, Mr. Lema anategemea kufanya harambee...
Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c...
Majimbo ya wanafiki yanatakiwa kurudishwa nyumbani.....................je mnayajua? Mtera,Same Mashariki,Simanjiro,Bunda na mengine mtayajazia wenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtoto Consolatha Donald (7) akiaga mwili wa marehemu baba yake huku akiwa mikononi mwa mama yake mzazi Diana.
Mwanasheria Aman Mwaipaja ambaye alijitolea kumtetea bure marehemu Dunga kwenye...
Juzi Jumamosi nilikuwa naskiliza kipindi cha watoto nimekaa nyumbani nilisikitika sana wanafunzi hao wa darasa la tatu na la nne hawajui kabisa kutenganisha maana ya Nahau,Methali na Vitendawili...
leo katika taarifa zao kulikuwa na habari iliyo ihusu chadema na mikutano ya kutafuka wanachama wapya, wakati wanamhoji kiongozi wa chadema gafla matangazo ya biashara yakaanza kurushwa na...
Katika harakati za kuipinga na kuiondoa CCM madarakani ,humu jamii forum tunaanzisha rasmi jeshi la kupinga kuonewa,kunyanyaswa pamoja na udhalimu mwingine wowote unaofanywa na serikali hii ya...
Zanzibar says it is in the process of de-registering 36 Iranian oil tankers that bear the flag of Tanzania after an investigation proved their true origins.
Zanzibar Vice President Seif Ali Iddi...
UGONJWA wa Ukimwi hautakuwa tena janga la kitaifa nchini miaka michache ijayo baada ya Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids) kueleza kuwa Tanzania imekusudia kubadili sera na mikakati ya...
Huko Mbeya kwa mujibu wa vyombo vya habari JK kasema haya,
Nafahamu kuwepo madai ya baadhi ya watu kutakaswali la watu kuwa na dini gani liingizwe. Swali hili halipo na halikuwahikuwepo kwa nia...
Habari wadau, kwa taarifa za uhakika Dr.Steven Ulimboka anarudi nchini kesho, Madaktari wote na wadau wote mnaombwa kufika uwanja wa ndege saa sita na nusu mchana kwa ajili ya kumpokea jemedari...
Soma kisa cha tajiri wa Kiganda aliyehukumiwa kufungwa maisha baada ya kumuua mtoto ili kutoa kafara. Imani za kipuuzi zikichanganyikana na tamaa na balaa. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.
Serikali ya Malawi imepuuza tishio la Tanzania kuhusu mzozo wa mpaka kwenye ziwa Nyasa na kusisitiza kwamba ziwa lote ni la Malawi hivyo utafiti wa Mafuta utaendelea.
Waziri wa mambo ya ndani na...
Mimi sio mfuasi wa chama chochote tanzania, you can not blame me but vyama vyote havisimamii slogan zao, zinafata siasa za upepo....All in all like everybody else nataka mabadiliko katika...
Ni katika pita pita za mshikaji akakutana na hii shule bora kabisa ya serikali ambayo ina mwalimu mmoja yeye ndoyo mkuu, msaidizi, mwalimu wa zamu, mwalimu wa nidhamu, mwalimu wa taaluma na kila...
wadau cjajua vizuri hapo sheria za mikataba(law of contracts) kwa mtu ambaye ameshakufa ila bado naona startimes wanatumia picha zake ktk matangazo yao.mfano ktk ofisi zao pale bamaga bado kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.