ITV kuomba radhi kwa kuonyesha habari ya Mama aliyenyangwanya Mtoto wake ni haki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV kuomba radhi kwa kuonyesha habari ya Mama aliyenyangwanya Mtoto wake ni haki?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BornTown, Aug 10, 2012.

 1. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi jana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwenye luninga ya ITV waliomba radhi kwa kuwa walionyesha habari ya yule mama aliyenyanganywa mtoto wa miezi 4 na ndugu za mwanaume aliyezaa nae kwenye taarifa ya habari.

  Mbali na taarifa ya habari yule mama alienda EATV kuomba msaada wa kisheria kwenye kile kipindi cha Wanawake Live iweje leo waje waombe radhi kuwa ETI HAIKUWA SAHIHI KURUSHA HEWANI TAARIFA ZA MAMA YULE ALIENYANGANYWA MTOTO MCHANGA WA MIEZI 4 KISA MTOTO HAJAFIKISHA MIAKA 18 NA WALIKUWA HAWANA KIBALI CHA MAHAKAMA.

  binafsi nimeuzunishwa na taarifa ile, kwani ukiangalia sheria inamlinda yule mama kuishi na mtoto wake ambaye anamnyonyesha hadi pale atakapo fikia umri wa miaka 7 ndipo upande wa mwanaume umchukue au mtoto awe chini ya uangalizi wa ustawi wa jamii hadi pale tofauti zao zitakapoisha, lakini kutokana na rushwa kutawala nchi yetu sikutegemea kama ITV ingeweza kuyumbishwa na pesa za wahindi kuja kuomba radhi kwenye TV.

  je ni haki na kwa ITV kuomba radhi kwa uma baada ya shindikizo la upande wa walalamikiwa?
   
 2. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 343
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  mkuu pesa ndio inaongea kwani tukifata haki mama anatakiwa kumnyonyesha mtoto kwa miaka 2 na juzi tumesikia kwenye redio wakihamasisha mama anyonyeshe mtoto tamwa waingilie kati ili mtoto apate haki yake inaniuma sana
   
 3. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  hii bhana bila hata kumung'unya maneno ni JEURI YA PESA. Mi narudia kusema kila siku hii nchi tunakoelekea sasa hivi, itafika mahali mwenye pesa atafanya lolote kwa mnyonge na mnyonge hatapata wa kumtetea. ki-uhalisia kabisa hakuna utawala wa sheria kwenye hii nchi. kilichobakia ni wanyonge kuingia barabarani kubadili utawala wa hii nchi. HII NCHI TUNAKOELEKEA NI KUBAYA HAIJAPATA KUTOKEA KAMA TUTAENDELEA NA SERIKALI YA CCM. kwa nini SHERIA ISILIMALIZE KWANZA SUALA LA HUYO BINTI KUNYANG'ANYWA MTOTO KABLA YA KUWANYAMAZISHA ITV????? WALE WAHINDI WAMEGHUSHI VYETI VYA HOSPITALI KUONYESHA ETI YULE BINTI ANA MATATIZO YA AKILI, MBONA MAHAKAMA HAIKUWATIA HATIANI KWA KUMDHALILISHA BINTI WA WATU???? HILI LI NCHI NI LA;
  rushwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  rushwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  rushwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  MPAKA INAKERA, HAKYANANI HUKO MBELE YA SAFARI WANYONGE TUTACHINJWA HADHARANI HUKU MAHAKAMA IKITABASAMU BILA HATA KUFIKIRIA KAMA KUNA SHERIA YA KUTENDA HAKI. MAHAKAMA IMEGEUKA MACHINGA INAUZA HAKI ZA WANYONGE KWA WENYE PESA KWA BEI YA JALALANI KABISA.

  MLAANIWE NYIE SERIKALI YA CCM.
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Binafsi niliiangalia ITV jana sikuwaelewa na sababu iliyofikia kuomba radhi.

  Sheria zipo na taratibu zake, sasa iweje wamfanyie vile yule mama???, au kwa sababu ni mwanamke????

  Sasa huyo mtoto ananyonyeshwa na nani ikiwa mama mzaazi amenyanganywa???

  Vyombo vya sheria vifanye kazi iliyokusudiwa na siyo kupindisha sheria kwa kipengele kinachonuka rushwa!!!!!!

  HAKI ZA bINADAMU MPOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!!  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 5. M

  Mauu Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Niliguswa sana na suala la yule dada, hivi limeishia wapi? au ndo wahindi wametembeza rupia mahakamani mpaka wa waandishi wa habari waliolivalia njuga suala hili! Wako wapi wanaharakati? au wao wanashughulikia masuala ya kina Ulimboka tu (siasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa)

  Wanaume watu wabaya sana (wahindi) unafikia mahala kumuita mkeo kichaa ili tu umkomoe kwa kumnyang'anya mtoto! inasikitisha saana!
   
 6. g

  gabz Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli mimi Itv sijawaelewa walikiuka sheria ipi mpaka waombe radhi jana..but kama ni kweli ni nguvu ya ziada ya wale wahindi basi nchi hii sioni haki iko wapi maana Itv ni private territory bt wahidi wameweza kuwafanya wanywee lol makubwa..
   
 7. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Mimi nilishindwa kuelewa kile kilichofanywa na ITV cha kuomba radhi kweli hata mtu mjinga anaweza kupekea ile hbr ya jana . Hapa ITV ituombe radhi tena kwa kutuchanganya.
   
 8. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee baba yangu mimi sishanga hata kidogo mbele ya pesa sheria zinavunywa;,,,,, ila baba wa huyo mtoto ategemee mtoto kuwa taira,chizi,pungufu wa akili kwa mtoto kukosa maziwa ya mama
  mama rakurwa na mama mremi wananiambia hapa clabuni ya mbege
   
 9. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,477
  Trophy Points: 280
  ITVT walifanya makosa kwa sababu lile swala lilishakuwa mahakamani kitendo chao cha kuonyesha swala ambalo limeshafika mahakamani lilikuwa si kosa kosa lilikuwa kuchukua maoni ambayo yalikuwa yanaingiliauhuru wa mahakama kwani hukumu yote ambayo mahakama itatoa kinyume na maoni yaliyotolewa itaonekana si haki na kosa hili limekuwa linafanywa sana na vyombo vya habari kama mnakumbuka kipindi kile magazeti ya alasiri yalivyokuwa yakionywa na mahakama na magazeti ya Erick Shigongo hasa uwazi ila kwa udhaifu wa mahakama hii tabia imeota mizizi
   
 10. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  itv kama taasisi ina jukumu kubwa la kulinda haki ya mtoto kwa mujibu wa sheria ya watoto ya Tz,mahakama ya watoto haiendeshwi hadharani ktk kulinda future ya mtoto. pili itv hawakufuata maadili ya kiandishi kumhoji hakimu ndani ya mahakama tena ya watot
   
 11. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  o. sam mahela na yule dada walikiuka waziwazi sheria,kanuni na hata taaluma! contempt ya mahakama ndicho kisa cha itv kuufyata na kuomba radhi. pili huyo mama mtoto si reliable ingawa sheria inamlinda sana. Kumhoji hakimu mahakamani ni sawakumhoji mbunge
   
 12. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  mbunge akiwa bungeni analindwa na kinga vivyo hivyo kwa mahakimu na majaji. hivyo sam mahela na itv crew wanakosa la jinai lenye adhabu ya kifungo. hakuna rushwa ktk hili zaidi ya kutubu tu kwa ITV. Huo ni uungwana
   
 13. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  binafsi, kinachoangaliwa kwanza ni well being ya mtoto si tu akae kwa mama sababu ni mtoto mdogo. pekee anachokosa ni kukaa na mama na wala sio maziwa ya mama kwani anti wa yule mtoto anamnyonyesha (ana mtoto mwingine). cha kujiuliza ni je, mama wa mtoto yupo katika hali ya kuweza kukaa na mtoto bila kumuathiri kwa njia yoyote? ni mzima mentally?
  naukubali uamuzi wa mahakama. ustawi wa jamii na wanaotetea haki za watoto walikuwepo pale na bado waliona kuna umuhimu mtoto akae mbali na mama kwa wakati ule.
  ushabiki wa mahela na kukosa sifa za uandishi wa habari kwa kukurupuka na kujifanya ana hisia ndio kulikopelekea ITV kuomba radhi.
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Sheria si haki.

  The law is an ass.
   
 15. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mtoto ananyonyeshwa na shangazi yake...ana mtoto mwingine mchanga kwa hyo ananyonyesha wawili.
   
 16. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii kesi inaoyesha jinsi wahindi walivyo wabaguzi,yaani hawapendi kuchanganyika na wabantu kwenye familia..
   
 17. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  wapo watoto wengi sana ambao wanazaliwa tu na wazazi wao wanafariki, wanakua bila kujua maziwa ya mama ni nini na wanakuwa na afya nzuri kiakili na kimwili. hata hivyo, huyo mtoto ananyonyeshwa na shangazi yake kama ulikuwa hujui.
   
 18. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Huyu mtoto mama yake yupo na hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na daktari kua huyu mama hawezi kumnyonyesha mwana.
  Pia huyu dada alimlea mwanae miezi mi4 na bado ana nia na anataka kumlea mwanae.
  Kwanini anyonyeshwe na shangazi.
   
 19. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kuingilia uhuru wa mahakama,Sera mpya Tz
   
 20. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  ikumbukwe pia ITV ni washitakiwa waliotubu mbele ya mahakama, na walichokifanya ni hukumu iliyotolewa na mahakama. Mlitaka wafanye nini sasa?
   
Loading...