ASP ruksa ZNZ, na TANU ruksa TANGANYIKA

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Ni dhahiri sasa suala la kuvunja muungano linatishia uhai wa CCM . Ikumbukwe kwamba CCM iliundwa baada ya kuunganisha vyama vikuu viwili TANU na ASP mwaka 1977. Muungano huu wa vyama sio muungano unaotambuliwa na katiba ya sasa ya JMT hivyo Viongozi na wanachama CCM wa kila upande wanao uamuzi wa kukataa CCM na kurejea kwenye vyama vyao vya awali . Hii inawezekana hata bila kumjulisha msajiri wa vyama vya siasa kwani uendeshaji wa vyama vya siasa si mambo ya muungano. Hiyo ndio dawa ya vitisho kutoka viongozi wa juu CCM, vinavyowalazimisha wanachama wao watoe maoni ya kuendelea kuwapo na serikali 2, ili hali wazanzibar wengi wanahitaji ama muungano uvunjike au serikali tatu. Natoa ushauri kwa wazanzibar achaneni na CCM fufueni ASP, tuwakomeshe hawa MABWEPANDE.
 
Hoja imeungwa mkono. Sasa nawahoji: WANAOSEMA NDIYO-300,,,,,WANAOSEMA SIYO-200. Waheshimiwa wajumbe nadhani waliosema NDIYO wameshinda....
 
Dah! Hiyo ndo hoja ya msingi, naunga mkono hoja. Kwani ccm wanaifanya hii nchi kama ya kwao. But their numbers are numbered to survive.
 
Back
Top Bottom