Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

Usitegemee ukweli kutoka kwa Dk. Steven Ulimboka!!

Gooogle

Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
29
Reaction score
4
...Usitegemee ukweli wowote kutoka kwa Dk. Steven ulimboka.
...Kwanini?,

Hivi ungekua wewe ndio Dk. Ulimboka una sifa zifuatazo
...Labda una familia yenye watoto zaidi ya wawili, Mke pamoja na other relatives..
Hivi TISS wakisema au wakiku-hakikishia kuwa moja ya mtoto wako atakua kama bond ya
kulinda kilichotokea,
Kumbuka watoto au mtoto anaweza akawa framed kwenye ajali ya kugongwa na gari..
wewe kama baba unachukua move gani?.

NB
Swala hili ni la kufikirika ukilinganisha na chelikari yetu.
 
Kwani ukweli haujulikani hadi sasa!???
 
uoga wa nini mkuu!!!!
 
Suala la Dr. Ulimboka si lake pekee,ili linahusu umma wote wa Tanzania sababu mateso aliyopata Dr Ulimboka ni serikali kujaribu kuutisha umma na kututaarifu kwamba serikali ndio kila kitu na wananchi ni lazima wafuate serikali inachotaka la litawakuta la Dr Ulimboka.
 
ukweli upi? atakochokuja kufanya Dr. Ulimboka ni kukazaia ukweli huo kwani ukweli tusha ufahamu.
 
tunajaribu kuaminishana na kueneza kuwa serikali imefanya hivi. ........ KAMA SI KWELI. basi ile kanuni ya "UWONGO UKISEMWA SANA HUGEUKA KUWA UKWELI" inachukua nafasi yake hapa
 
Kuna watu walitoa watoto hata Mama mzazi tena kutoka hukohuko Nyanda za juu kwa ajili ya utajiri.
Habari imeshajulikana, na yeye ataiongezea kwa walio karibu nae, ila itafaa Mahakamani? maana juzi mfanyakazi wa Kampuni la Simu avamiwa nyumbani, Gazeti maarufu lafungiwa kwa kunasa nyendo za mawasiliano, kila kitu wazi lakini bora kunyamaza au kupambana na
 
Back
Top Bottom