Sinema ya Kova Kwa Ulimboka Yazidi kunoga,Gwajima na Ulimboka watakuwa mashahidi wa Serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sinema ya Kova Kwa Ulimboka Yazidi kunoga,Gwajima na Ulimboka watakuwa mashahidi wa Serikali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kanga, Aug 13, 2012.

 1. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Katika kuendelea kufakuri juu ya usanii wa jeshi la polisi dhidi ya utekaji wa Dr. Ulimboka mambo mazuri yanadhidi kujidhihirisha .Jeshi la polisi chini ya Kamanda Kova alitangazia umma kuwa Mtekaji Mkuu wa Dr. Ulimboka ni Mkenya aliyekiri mbele ya Mchungaji Gwajima wa kanisa la Ufufuo kuwa ndiye aliyemteka dr Ulimboka na kisha Mkenya huyo kupelekwa mahakamani kwa kosa la utekaji na kujeruhi.Lakini baadaye mchungaji Gwajima alikana waziwazi taarifa ya Kova na kutoa maelezo mengi ya kutofautiana na Kova, Lakini kwa kuwa Kova ni bendera fuata upepo ni kutekeleza amri na pengine serikali yote ilijua kuwa Dr. Uli angekufa na kesi ya kutunga kwa Mkenya kutupiliwa mbali , Dr ULi amepona na kurejea jana nchini jambo ambalo ni wazi kuwa ili kesi iliyoko mahakamani iwe na nguvu ,Mchungaji Gwajima na Dr Uli wanatakiwa wawe mashahidi wa Serikali kukubaliana hoja za Kova na kama hawatakubaliana na Serikali naamini hakuna mashahidi muhimu zaidi ya hao wawili na kama watakataa kushirikiana na Serikali Mkenya wa Kova ataachiwa huru maana ni wazi hakuna mazingira ya wazi ya kumtia hatiani.
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Dr uli lazma awekwe mfukoni mwa sirikali na yeye akubali vingnevyo wakt huu atalazwa pema.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Taarifa zilizopo Dr ulimboka ameahidiwa Shs 100.000.000, nyumba na gari la kifisadi ili mradi amtambue Mkenya ndiye aliyemteka ! Kuficha udhaifu wa serikali. Dr Steve UlImboka usiwe cheap Mungu hapendi uwongo
   
 4. B

  BBA JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 319
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sidhan kama Ulimboka atakubaliana na ujinga wa Kova ili awanusuru watu wasipoteze Popularity
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Million 100 hata mimi nakataa, yaani mtu karibu afe gharama ni million 100 wakati viongozi wa serikali wanapiga dili za dola million 5? Ingekua mi ni ulimboka yaani waanze na ofa ya dola million 5 hapo ndio kidogo tutakaa mezani tuongee...sh$$y type
   
 6. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dr Uli please be strong,tunataka ukweli ujulikane.watanzania wako nyuma yako
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Akakate akatafute kazi nje nchi....aseme ukweli na asepe zake akibakia watamuua kuna kina Rama kibao hawana kazi wamesomea kuua wapinga serikali kwa sumu!!asikubali pesa ila atafute kazi nje nchi!!ama la akae kimya milele!!
   
 8. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  BBA hapo sasa lazima KOVA avae chupi kichwani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mtotowajini Dr.Uli anaweza kuwauza WaTz walivyomthamini namnan ile kwa visenti vya kifisadi, nafuu kufa maskini jeuri kuliko tajiri mlamba viatu mafisadi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hili suala si liko mahakamani? LOL
   
 11. E

  E112tz New Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuuuh! Kwa ofa hiyo Serikali haishindwi! Kaaaaaziiii kwelikweli!
   
 12. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Chezea ofa ww,hapo kaz ipo.lets wait n see.
   
 13. M

  MTK JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni tetesi presumptive and pre-emptive! Sawa dr. Ulli ni binadamu anaweza kupata kishawishi; sometimes people can resist anything but temptation!! lakini napenda kuamini kwamba our good dr Ulli anajiheshimu sana, he stands on a moral high ground; to the extent that he put his life on the line; shed his blood and went thru' some excruciating pain for a noble cause hawezi kuwasaliti madaktari wenzake na watanzania wengi wanaolitakia mema taifa letu kwa sababu ya utukufu wa duniani ambao hata hajui lini utamtoka mkononi! namuomba sana kila siku na kila saa iendayo kwa Mungu awakumbuke madaktari wenzie waliofutiwa usajili kila anapotafakari way forward katika sakata hili lote.

  Namuombea uthabiti wa mawazo na uimara wa kiroho ili atende yale yanayompendeza mwenyezi Mungu na watanzania wengi katika ujumla wao. Akitikisika akanunuliwa basi tutamuelewa pia kuwa aliteseka for narrow selfish interests, and if the means can justify the ends; so be it! na sisi tutazidi kumuombea heri kama tulivyofanya siku zote tangu atekwe, akaumizwa mpaka aliporejea nchini buheri wa afya. Kama maisha ni mali na pesa tu basi na achukue hizo pesa, nyumba na Gari!!
   
 14. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Matibabu ya Dr. ni zaidi ya milioni 50. Hizo ml100 zitanunua utu wake kweli!
   
 15. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,081
  Trophy Points: 280
  duh, ka hiyo una maana report aliyokuwa ameletewa ilisema kama hapo kwenye red naye alijua kuwa haiwezi kubadilika sio!?
  Sasa acha tuone hili gemu ...GOD Vs Man (kv,uwt)

   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hahahaaa, they missed the first chance.... it is all out of control, cant kill him now
   
 17. sikafunje.N

  sikafunje.N Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uli sio mjinga akakubali kuuza utu wake.... wanaozusha humu ni wale waleeeeeee!
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  vip kuhusu dr Deo????hawez kuwa shahidi???
   
 19. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dr Ulimboka jina linajieleza najua hana wasiwasi
   
 20. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Sirikali iko tayari kuua kuliko kupata aibu,this time hawatamwokopa msitu wa pande na wala hawataorganize kishamba kama walivyofanya mwanzo.Ningemshauri dk uli awe mpole 2 maana this gvt haioni hatari kukupoteza kwenye uso wa nchi.Namshauri awasiliane na mwkyembe kwanza kabla ya kuanza kuianika serikal
   
Loading...